Am I wrong if I process divorce?

At 50, Bora kutulia ,utajivunjia heshima bure. Still uko kwenye ndoa jamii na watoto wako hawajui hiko kihoro
Hivi wanaume huwa mnatuchukuliaje wanawake?hivi wewe unaweza kukaa miaka 8 bila kufanya, usiniambie habari za mapadri na masista maana wakifanya hawatangazi isitoshe Ni kiapo chao,,

Miaka 8 mume hamgusi na bado unamkandamiza namna hii,,

Hizo heshima zinafaa nini wakati ndani anaugulia, maisha hayana mbadala, punguzeni ubinafsi nyie watu kah
 
Aaendelee kuvumilia vipigo na kusalitiwa until akufe kwa kupigwa au magonjwa
Hiyo ndio ndoa [emoji854]
Kwamba asiishi maisha yake vizuri aishi akikuombea mtu mzima mwenye akili timamu aache kumpiga
You must be kidding me..
 
Kweli kukaa miaka 8 sio kawaida. Ila ushauri wangu hapa umezingatia sana umri wa muhusika.
 
Umeona eee kipi bora kula raha kwa siri au kuvunja ndoa?
 
Demi shikamoo,sio kwa kuchamba huko,ila umepita kwenye mstari kbs
 
Natamani nikupige makofi umempa pesa akanunue gari kaandika jina lake na umekubali, amejenga nyumba kaandika nini?kucheat kama zote, ulibikiriwa?unafedheha yoyote? Huyo ni inferior wa elimu na kipato chako, hajiamini kwa hio anajihami na dhamira yake achume, na hakupendi ila anakukubali yaani huyo ni nnzi na nyuki. Sijui nikupore ndio ujue tunaopenda kwa dhati tukoje yaani umeenda kwa fisi au uliolewa kishamba sana
 

Huu ushauri wa kisanii usithubutu pita kama hujauona manabii wa uongo hutumia neno
 
She is a mere joker
 
Uvumilivu wake sio wa kawaida, Ila nakwambia huyo dada haondoki hapo... miaka nenda rudi atakuwepo hapo hapo. Tunapoteza muda kumshauri
Nyie dada zetu nyie, imagine hapo ukute kaka, baba, mama, mjomba, shangazi, mama wadogo/wakubwa, marafiki wote wameshashauri aondoke lakini ye bado haamini.

Ni mshika dini sawa, hajui kuwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU?
 
Mkuu kwanza wewe hujaelewa my point of view, ishu ni kwamba sometime mwanaume unafanya vitu vya hovyo hata baadae ukikaa chini unajiuliza kwanini ulifanya hivyo, hapo ndio uvumilivu wa mwanamke unaingia na kuombeana kama alivyosema mchangiaji pale juu, sasa sio suala zuri kwa watu mmeishi miaka kumi eti upigwe sijui kofi unawahi polisi.

pili, unakuwa biased sana kuhukumu hii ishu sababu hujasikiliza upande wa mwanaume, mwanamke katia vinaksi kidogo basi raia wote mapovu, shida yetu wabongo ni judgemental and reactive mind
 

Pole mdogo sana wangu Rosiela 😥😥😥😥

Nimeshindwa kusoma hadi mwisho poleeee


Ngoja nisome comments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…