Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Hivi wanaume huwa mnatuchukuliaje wanawake?hivi wewe unaweza kukaa miaka 8 bila kufanya, usiniambie habari za mapadri na masista maana wakifanya hawatangazi isitoshe Ni kiapo chao,,At 50, Bora kutulia ,utajivunjia heshima bure. Still uko kwenye ndoa jamii na watoto wako hawajui hiko kihoro
Miaka 8 mume hamgusi na bado unamkandamiza namna hii,,
Hizo heshima zinafaa nini wakati ndani anaugulia, maisha hayana mbadala, punguzeni ubinafsi nyie watu kah