Am I wrong if I process divorce?

Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
Ona, at 51 a woman is still craving for a dvck, huyu mbichi kabisa early 30s anakaa miezi minne bila bila.

Sister hakuna ndoa hapo, he's banging other ladies wewe upo tu sijui unasubiri nini, Ila kama hakupigi na hakuna any physical abuse jutulize, sujakushauri utafute mtu mzima mwenzako, Ila huwezi kukaa bila kuchangamsha mwili. Naamini at 51 you don't need regular sex, ukipata once-twice-thrice a month you're good to goπŸ˜‚.
 
Nyie dada zetu nyie, imagine hapo ukute kaka, baba, mama, mjomba, shangazi, mama wadogo/wakubwa, marafiki wote wameshashauri aondoke lakini ye bado haamini.

Ni mshika dini sawa, hajui kuwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU?

Hakuna kitu kigumu kama kutoa ushauri kwa hali ya ndoa ya aina sababu mhusika bado hayupo tayari kuisikiliza sauti yake ya ndani; ukweli kuhusu huyu binti ni kwamba moyo ndio unafanya maamuzi na sio akili

Anahitaji kuwa na mtu wa karibu, muelewa, atayemuamini na mtaalam wa saikolojia aweze kumsaidia. Vinginevyo ndio utakuta mtu anajidhuru au anapata magonjwa

Ninachoweza kumwambia Rosiela ni kwamba yeye ni wa kwake na yeye ana wajibu wa kujipenda na kuitafuta amani ya moyo wake kabla hajaidhuru afya ya mwili wake, akili na hisia. Hakuna atakayekuambia uivunje ndoa yako ila utakapofanya maamuzi hayo utapokea pongezi nyingi sana kwa wanaokupenda
 
Kuachana na mtu sababu ya unyanyasaji Ni kukimbia nyumba?
Sikumaanisha "kuikimbia" kama neno lilivyo. Ni kuachana na hubby wako kwa talaka, mkuu mimi sishauri mtu akae kwenye ndoa yenye bondia hata kidogo coz ukifa yeye atasubiri kidogo tu na kuvuta mwingine ndani.

Pole, Ila kama amani na furaha vimetawala ni vizuri. Japo I thought you were in heaven with your hubby kama ulivyokuwa unaandikaga humu, ndio maana uliona nilishangaa.
 
Mkuu ingekuwa ni mwanamke ndiyo anafanya haya kwa mumewe ungeshauri hivi
 
Mkuu ingekuwa ni mwanamke ndiyo anafanya haya kwa mumewe ungeshauri hivi
Mwanamke hawezi kufanya hayo mkuu, sababu hata maandiko yanamtaja kama kiumbe mdhaifu.
 
The way ulivyoanza tu hii thread, tayari umeshapoteza over 50% of men

Secondly, early marriage nyingi Zina bahati mbaya ya makuzi na maturity

Thirdly, sijaona ukielezea his side of story, au kuhusisha kabisa, wasimamizi wa ndoa au wazazi

Nachelea kusema kwamba umeshaamua na umeanza kupenda nje

All the best
 
Mwanamke hawezi kufanya hayo mkuu, sababu hata maandiko yanamtaja kama kiumbe mdhaifu.
Ukiachana na kupigwa haujaona hayo mengine mtoa mada anayofanyiwa ambayo hata mwanamke anaweza akamfanyia mumewe

Wapo wanawake wanaotesa waume zao haswa kisaikolojia

Kwahiyo jibu swali ingelikuwa mwanamke ungeshauri hivi
 
Ukiachana na kupigwa haujaona hayo mengine mtoa mada anayofanyiwa ambayo hata mwanamke anaweza akamfanyia mumewe

Wapo wanawake wanaotesa waume zao haswa kisaikolojia

Kwahiyo jibu swali ingelikuwa mwanamke ungeshauri hivi
Mkuu hayo siwezi kuComment coz sijui wanaishi vipi, point yangu uniudhi nikuzabe halafu unitishie polisi sijui niombe msamaha hiyo kwangu HAIPO.
 
Ngoja apigwe binti yake na BF au aliye kwenye ndoa utaona atakavyowaka moto mwili mzima. Watu wengine ni wa ajabu sana.
Haaahaaha! Mnacheza na fursa tu kwa single mama mtarajiwa, na kwa kuwa kasema Msafi na shape ipo, duh! hatari mazee
 
Thirdly, sijaona ukielezea his side of story, au kuhusisha kabisa, wasimamizi wa ndoa au wazazi.
The only person who can tell β€˜his’ side of the story is the other half/ party in the marriage.

You can’t reasonably expect her to objectively tell β€˜his’ side of the story.

Ndoa zina mambo mengi.

Ukisikiliza malalamiko ya upande mmoja tu unaweza kuishia kumwona mwenzake ni shetani kabisa!

Ngoja sasa usikie na ya upande wa mwenzake! Unaweza kuishiwa hata na kusema maana kila mmoja atavutia kwa upande wake.
 
Hupendwi ndugu! Umeshalitambua hilo, jipange taratibu uanze maisha yako. Kanisani kama ni waelewa watatoa talaka, ushahidi gani zaidi ya uliyoeleza watataka? Kila la kheri, na pole kwa hilo gereza! Usiwe mwepesi kuanguka kwa mwanaume mwingine, ujue msala uliomo bado hujatoka, usije ukabadilishiwa wewe kibao kuwa ndio mwenye tatizo, na pia Sidhani kama ilikuwa busara kumweleza mwanaume baki matatizo yako, nina imani unawajua vizuri wanaume, kilio chako, sherehe kwake!
 
Best hebu rudi juu usome namba saba. Mtu anaandaa mazingira mazuri ya kuwa na mumewe bila kelele za watoto anaitwa MHUNI! Dah! anatia huruma sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ nimeiona best nikaishia kushangaa!!....wakati BAK kama BAK, Ungeipata hiyo nafasi ni kujilamba tuπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 yaani hapo unafurahi kabisa simu zote zinazimwa madirisha funga yote wahuni wasisogee dirishani kupiga chabo, kiyoyozi kiko hewani na romantic muziki. Fully naked kuanza na muziki na kinywaji. Hapo ni kufanya mapenzi siyo kufuvk lol!!! Hahahahaha mkija stuka saa moja asubuhi masaa 10 yamekatika kama mchezo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ nimeiona best nikaishia kushangaa!!....wakati BAK kama BAK, Ungeipata hiyo nafasi ni kujilamba tuπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Si ndo hapo sasa, jamaa itakuwa hajiamini kabisa mambo mazuri anaacha ndani anaenda kuhangaika njeπŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…