Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Im 51 years old na yeye yuko 55. Katika umri huu naona im too old kupata bwana. Yeye anadate na vibinti vidogo. Ni bora angeniheshimu anarudi ametapakaa lipstic kwenye vest while im starving sexually. Hii sio ndoa ni mateso
Ona, at 51 a woman is still craving for a dvck, huyu mbichi kabisa early 30s anakaa miezi minne bila bila.

Sister hakuna ndoa hapo, he's banging other ladies wewe upo tu sijui unasubiri nini, Ila kama hakupigi na hakuna any physical abuse jutulize, sujakushauri utafute mtu mzima mwenzako, Ila huwezi kukaa bila kuchangamsha mwili. Naamini at 51 you don't need regular sex, ukipata once-twice-thrice a month you're good to go😂.
 
Nyie dada zetu nyie, imagine hapo ukute kaka, baba, mama, mjomba, shangazi, mama wadogo/wakubwa, marafiki wote wameshashauri aondoke lakini ye bado haamini.

Ni mshika dini sawa, hajui kuwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU?

Hakuna kitu kigumu kama kutoa ushauri kwa hali ya ndoa ya aina sababu mhusika bado hayupo tayari kuisikiliza sauti yake ya ndani; ukweli kuhusu huyu binti ni kwamba moyo ndio unafanya maamuzi na sio akili

Anahitaji kuwa na mtu wa karibu, muelewa, atayemuamini na mtaalam wa saikolojia aweze kumsaidia. Vinginevyo ndio utakuta mtu anajidhuru au anapata magonjwa

Ninachoweza kumwambia Rosiela ni kwamba yeye ni wa kwake na yeye ana wajibu wa kujipenda na kuitafuta amani ya moyo wake kabla hajaidhuru afya ya mwili wake, akili na hisia. Hakuna atakayekuambia uivunje ndoa yako ila utakapofanya maamuzi hayo utapokea pongezi nyingi sana kwa wanaokupenda
 
Kuachana na mtu sababu ya unyanyasaji Ni kukimbia nyumba?
Sikumaanisha "kuikimbia" kama neno lilivyo. Ni kuachana na hubby wako kwa talaka, mkuu mimi sishauri mtu akae kwenye ndoa yenye bondia hata kidogo coz ukifa yeye atasubiri kidogo tu na kuvuta mwingine ndani.

Pole, Ila kama amani na furaha vimetawala ni vizuri. Japo I thought you were in heaven with your hubby kama ulivyokuwa unaandikaga humu, ndio maana uliona nilishangaa.
 
Mkuu kwanza wewe hujaelewa my point of view, ishu ni kwamba sometime mwanaume unafanya vitu vya hovyo hata baadae ukikaa chini unajiuliza kwanini ulifanya hivyo, hapo ndio uvumilivu wa mwanamke unaingia na kuombeana kama alivyosema mchangiaji pale juu, sasa sio suala zuri kwa watu mmeishi miaka kumi eti upigwe sijui kofi unawahi polisi.

pili, unakuwa biased sana kuhukumu hii ishu sababu hujasikiliza upande wa mwanaume, mwanamke katia vinaksi kidogo basi raia wote mapovu, shida yetu wabongo ni judgemental and reactive mind
Mkuu ingekuwa ni mwanamke ndiyo anafanya haya kwa mumewe ungeshauri hivi
 
Mkuu ingekuwa ni mwanamke ndiyo anafanya haya kwa mumewe ungeshauri hivi
Mwanamke hawezi kufanya hayo mkuu, sababu hata maandiko yanamtaja kama kiumbe mdhaifu.
 
Hello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?

I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married when I was in my early 20s. Graduated my masters in my very early 20s as well.

It has never been a peaceful marriage pamoja na jitihada nyingi nilizofanya mimi kuisimamia na kujinyenyekeza kwa kuweka elimu na appearance yangu pembeni. Kifupi tu ya ninayopitia;

1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)

2. Hakuwahi kuja msiba wa baba yangu mzazi sababu kuu 'alikuwa na washkaji trip'

3. Sijui sh.yake japo anajenga..so i pay for house and family needs mpaka nilipojua ameandikisha hio nyumba jina la ndugu yake

4. Gari pia nilimpa hela akaninunulie yard hapa mjini karudi kaiweka jina lake. Sio kwamba hana hela..no he is financially stable.( sijui ananikomoa nini na sijawahi kutishia kuondoka wala nini-kwa wanaonijua nje wanaweza kuthibitisha hili)

5. Restrictions with my dress code. Anataka nishone vitenge mpaka miguuni. Ana wivu wa ajabu sana na mimi kupendeza au hata kusuka nywele hataki. Hataki nivae suruali,jeans and he found me wearing all those.He wants me rough NOW na anasema nataka kupendeza kwa ajili ya nani? Ananitumia mpaka threads sijui za wanawake 'wenye makalio makubwa hawana akili' nijitathmini na mimi(he picks everything from the internet). Hili halinisumbui sana because i know nina akili ya shule na maisha pia

6. Sex life is bad..very bad( nilishakamata mengi kwenye simu yake). And to be honest it is better this way..kwamba hatushiriki like normal married couples miezi minne sasa na wala hajali yani sawa tu kwake. Binafsi nitavumilia sababu afya yangu matters a lot

7. Sijawahi kumjibu chochote, ninaomba msamaha hata ninapokosewa, ninaandaa bedroom na scents nzuri, napika napeleka mtoto kwa dada yangu for sleep over ili tupate muda fulani ila ndio anarudi alfajiri na asubuhi ananiuliza nani kanifundisha mambo ya kihuni. Vikao vilishakaliwa mno..i know for a fact, he won't change.

8. I have shared my case kwa mtu mmoja tu,a man lately..ambae amekuwa so concerned na sijui tutaenda nae wapi as am beginning to fall in love na yeye(najua inabidi niwe muangalifu kwa wanaokuja kusikitika na mimi kumbe amenitamani tu kutokana na physical appearance and all that)

Sijaacha kuwa msafi..sijaacha kujipenda BUT i am dying deep down. NO LOVE NO SUPPORT hata ile kidogo na sijamuongelesha kwa mara ya kwanza toka anipige miezi 4 iliopita na kulazwa(sababu hapa ilikuwa sikuvaa nguo kama madira ambapo kazini siwezi kuvaa japo navaa kiheshima sana yet smart)na kisha kurudi nyumbani baada ya kusuluhishwa..hajui naishi vipi japo nina kazi yangu ni kama KAKA NA DADA.

Our wedding was a church wedding. NIMECHOKA. Sijui naanzia wapi kutoka but ninahitaji kutoka kwenye hiki kifungo

I believe atakuja kunifukuza kwenye nyumba alioiandika jina la ndugu yake. Maana hapa ni kama mpangaji na hela anayo mpaka ya kunywa ma hennessy kila weekend. I am a God fearing person deep down..sana! Sikuwahi kuwaza kwanini wengine wananunuaga viwanja pembeni..na nilikuwa mtu wa kwanza kupinga wanawake wa aina hii.

Ninasukumwa kuanza 'ku save kidogokidogo' na kupunguza kulisha familia ili nijipange na kibanda changu japo najiuliza mpaka nimefanikiwa kumaliza kujenga sio leo wala kesho i assume(kutokana na nachoki earn) na nitakuwa tortured kwa level ipi mpaka nimalize kujenga. Niko confused hasa

But I need advice..ninachanganyikiwa hata kazini performance inashuka.
Kindly advice
The way ulivyoanza tu hii thread, tayari umeshapoteza over 50% of men

Secondly, early marriage nyingi Zina bahati mbaya ya makuzi na maturity

Thirdly, sijaona ukielezea his side of story, au kuhusisha kabisa, wasimamizi wa ndoa au wazazi

Nachelea kusema kwamba umeshaamua na umeanza kupenda nje

All the best
 
Mwanamke hawezi kufanya hayo mkuu, sababu hata maandiko yanamtaja kama kiumbe mdhaifu.
Ukiachana na kupigwa haujaona hayo mengine mtoa mada anayofanyiwa ambayo hata mwanamke anaweza akamfanyia mumewe

Wapo wanawake wanaotesa waume zao haswa kisaikolojia

Kwahiyo jibu swali ingelikuwa mwanamke ungeshauri hivi
 
Ukiachana na kupigwa haujaona hayo mengine mtoa mada anayofanyiwa ambayo hata mwanamke anaweza akamfanyia mumewe

Wapo wanawake wanaotesa waume zao haswa kisaikolojia

Kwahiyo jibu swali ingelikuwa mwanamke ungeshauri hivi
Mkuu hayo siwezi kuComment coz sijui wanaishi vipi, point yangu uniudhi nikuzabe halafu unitishie polisi sijui niombe msamaha hiyo kwangu HAIPO.
 
Ngoja apigwe binti yake na BF au aliye kwenye ndoa utaona atakavyowaka moto mwili mzima. Watu wengine ni wa ajabu sana.
Haaahaaha! Mnacheza na fursa tu kwa single mama mtarajiwa, na kwa kuwa kasema Msafi na shape ipo, duh! hatari mazee
 
Thirdly, sijaona ukielezea his side of story, au kuhusisha kabisa, wasimamizi wa ndoa au wazazi.
The only person who can tell ‘his’ side of the story is the other half/ party in the marriage.

You can’t reasonably expect her to objectively tell ‘his’ side of the story.

Ndoa zina mambo mengi.

Ukisikiliza malalamiko ya upande mmoja tu unaweza kuishia kumwona mwenzake ni shetani kabisa!

Ngoja sasa usikie na ya upande wa mwenzake! Unaweza kuishiwa hata na kusema maana kila mmoja atavutia kwa upande wake.
 
Hupendwi ndugu! Umeshalitambua hilo, jipange taratibu uanze maisha yako. Kanisani kama ni waelewa watatoa talaka, ushahidi gani zaidi ya uliyoeleza watataka? Kila la kheri, na pole kwa hilo gereza! Usiwe mwepesi kuanguka kwa mwanaume mwingine, ujue msala uliomo bado hujatoka, usije ukabadilishiwa wewe kibao kuwa ndio mwenye tatizo, na pia Sidhani kama ilikuwa busara kumweleza mwanaume baki matatizo yako, nina imani unawajua vizuri wanaume, kilio chako, sherehe kwake!
 
Best hebu rudi juu usome namba saba. Mtu anaandaa mazingira mazuri ya kuwa na mumewe bila kelele za watoto anaitwa MHUNI! Dah! anatia huruma sana.
😂😂😂😝😝 nimeiona best nikaishia kushangaa!!....wakati BAK kama BAK, Ungeipata hiyo nafasi ni kujilamba tu😋😋😋😋
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani hapo unafurahi kabisa simu zote zinazimwa madirisha funga yote wahuni wasisogee dirishani kupiga chabo, kiyoyozi kiko hewani na romantic muziki. Fully naked kuanza na muziki na kinywaji. Hapo ni kufanya mapenzi siyo kufuvk lol!!! Hahahahaha mkija stuka saa moja asubuhi masaa 10 yamekatika kama mchezo
😂😂😂😂😂😂

😂😂😂😝😝 nimeiona best nikaishia kushangaa!!....wakati BAK kama BAK, Ungeipata hiyo nafasi ni kujilamba tu😋😋😋😋
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani hapo unafurahi kabisa simu zote zinazimwa madirisha funga yote wahuni wasisogee dirishani kupiga chato, kiyoyozi kiko hewani na romantic muziki. Fully naked kuanza na muziki na kinywaji. Hapo ni kufanya mapenzi siyo kufuvk lol!!! Hahahahaha mkija stuka saa moja asubuhi masaa 10 yamekatika kama mchezo
😂😂😂😂😂😂
😀😀😀Si ndo hapo sasa, jamaa itakuwa hajiamini kabisa mambo mazuri anaacha ndani anaenda kuhangaika nje🙄
 
Back
Top Bottom