Am I wrong if I process divorce?

Nilishafanya jitihada zote huko. I have decided already to live not to die
 
Usisahau kutoa taarifa serikali ya mtaa na dawati la jinsia huyo kwa ushahidi zaidi huyo baba mtoto asijekusumbua
 
Humbly received. Sending the mega love back to you.

Haki nimemiss enzi zenu na Da Sophy, sijui yuko wapi mama Hainaga Degree[emoji38][emoji38][emoji38]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka kwa sauti.
Da sophy alikuwa anatunyoooshaaa.
Na sisi na ubishi sasa ndo tunaziiiid kumlandiaha mavi ya kifua.

Dah.
Ile enzi jamani.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
 
I can't reset my mind dear I need someone aliyenizudi kila kitu Hadi dhambi kiasi nikiwa naye anakuwa Hana jipya ambalo hajafanya. Ka wine tu ya mda mrefu ndo huwa nzuri

Sawa mkuu,,, na iwe hvyo..

Asante.
 
Hahaaa Yani hapo ndo utafanya kila wema lakini huo wema anaona kosa tu
Yaan if a man doesnt want you jamani hata ufanyeje. He will always find a way to create chaos. Its what i learnt. Wananichangamsha hawa watu[emoji23][emoji23][emoji2222] yaan nikikumbukaga nilivyokuaga mpole jaman pooh mbakaa.. nimechangamkaaa balaa.
 
Unaonekana kua na hekima saana ku compare na wife (tupo kwa divorce process).
Yeye alitafuta mwanaume was kumweleza changamoto za ndoa yake akaishia kuliwa na kukosa ndoa yake.
Pole saana make sure unagundua Kama ana zini nje ndio uamue ku divorce japo si Jambo jema ila kabla ya hapo OMBA saana maana utakapoamua ku divorce anaweza kukuDhuru.

Hakika penye miti hapana wajenzi.
 
Yaan if a man doesnt want you jamani hata ufanyeje. He will always find a way to create chaos. Its what i learnt. Wananichangamsha hawa watu[emoji23][emoji23][emoji2222] yaan nikikumbukaga nilivyokuaga mpole jaman pooh mbakaa.. nimechangamkaaa balaa.
Dah hawa wanaume acha tu Yani Tena ukiwa mtulivu na mstaarabu napo shida, hata ufanye Jambo jema kwake anaona tu ubaya, wengine hata salaam anaanzisha ugomvi, kupitia mahusiano tofauti nimejifunza hapa duniani kuwa na kiasi jipende na jipe furaha usitegemee kutoka kwa mtu, na inabidi kuishi na mwanaume na beat lake akiwa kind, be kind akiwa mhuni nawe act kihuni, akiwa ana jali na kuhandle with care na wewe mfanyie hivo hivo tu.
 
Yaani. Tatizo sasa huwezi kufake uhusika ambao si wako. Akiwa mhuni nawezaje sasa. Sidhani kama wanakomoleka. Uts just to walk on ur lane. Mabaya yake muachie mwenyewe. Kuna siku atakiri tu hata kwa nafsi yake. Mtu kutwaaa kukupa ubaya tuu aisee. Ila fresh maisha ni murua as long as tunapumua bado[emoji23]
 
Yatupasa kuelewa kuwa no one is perfect na tumekulia tofauti so kuwa pamoja haimaanishi nianze kuku control kama mtoto as long as someone is responsible taking care of the family and our relationship, it's okay kuchukulia huo u positive mengine yakibinadamu yanavumilika tu kama anakunywa labda pombe na hafanyi fujo na responsible why uanze kumforce aache awe ka wewe hunywi, au kumktaza kukutana na marafiki zake wa long time kisa mumeona huwa haiko fair bana. Tu judge partners wetu kwenye Mambo positive na sio Mambo ya kupangiana had nguo Mara misuko bana huwa inabore kichizi
 
Hapa naona tuko pamoja. And uts been always this way. Kwanza that man who doesnt drink is a boring husband[emoji23] sitak partner asiyekunywa. Na sipend kumcontrol mtu na routines zake na maisha niliyomkuta nayo as long as hazina madhara kwake na sisi. Aplay part yake and thats all. Ila asisahau kunidekezaaaaaa[emoji41]
 
Kikubwa ni kuheshimu boundaries ya kila mmoja na kuacha kujifanya una play part ya mama kwa mumeo, na wewe mume uache kujifanya baba kwa mkeo kwa kutaka kumu control mtu mzima mwenzako. Mengine ni kutimiza wajibu basi
 
Kikubwa ni kuheshimu boundaries ya kila mmoja na kuacha kujifanya una play part ya mama kwa mumeo, na wewe mume uache kujifanya baba kwa mkeo kwa kutaka kumu control mtu mzima mwenzako. Mengine ni kutimiza wajibu basi
Ewaaaa.... tuache kuwa wazazi kwa partners wetu. Maisha yanakua mepesi sana
 
Yaan if a man doesnt want you jamani hata ufanyeje. He will always find a way to create chaos. Its what i learnt. Wananichangamsha hawa watu[emoji23][emoji23][emoji2222] yaan nikikumbukaga nilivyokuaga mpole jaman pooh mbakaa.. nimechangamkaaa balaa.
pooh mbakaaa chaloi hahahahahahh, hawa viumbe wanaweza kukubadilisha hadi ukajishangaa mwenyewe
 
Tulieni...kofi moja kwa mwaka sio mbaya

Sometimes mnakuaga hamnyooki....mwamba lazima afanze mambo kidogo

Eti "ptuuu mbaka,sia"....."Sia tupu mae"....you people are Chaggas at heart!
the real chaggas, na nilitaka niseme wewe Wyatt ni mchaga maana wachaga kwa mapenzi ni sifuri kabisa

leka tupu lukusie siii kifa ngikundi erera se fo mmbe.

hahahahhaha
 
Weee bana weeee , we all have closets.
Msijifanye hapa nyie ndo miti mmekosa wajenzi.
I hate it when people play innocence.
Hamna mtu kanyooooka, and while mwenzi anafanya wehu we ulikaa tu kama nukta.
Sio kweli.
We are all sinners, it's just we sin differently.

Kila mmoja has a role to play kufanya ndoa iwe imara na iwe hovyo.

Ikifika pa separation, muachane tu.
Sio kesi jamani.
Huhitaji kuwa saint ili ndoa yako iwe imara.
Haya mambo huwa tu yanatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…