Am I wrong if I process divorce?

Siku akirudishwa kwao kwenye jeneza utapiga vigelegele. Kama bado hujaolewa nakuombea upate janadume la hivyo

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli mana mwenzie kasema anapigwa hadi analazwa what if akikoiga siku moja akafa?
 
vumilia, kuna makubwa kuliko hayo, huyo mwanaume unayesema anakukea kwa sasa atakuja kugeuka kuliko mumeo, penda ndoa yako, matatizo hayakimbiwi, kwanza umeshaongea na washenga?
 
Hahahaaa

Mapenzi sio sana kwakweli ila tunapenda watoto sana....mi heri nitembee peku kwakweli

Usiogope vibao viwili vitatu ndio ndoa inasonga...tatizo mmekua laini na "woke" sana na "feminism"

Yaani ni "Leka tupu maee"!
hahahahahah umenifanya nifurahi sana,,,ngalorwa aisee,,nwaamba cha loi kapsaaaa, mapenzi zero ila mnajali watoto

kuna baadhi yenu wamekuwa hawajali watoto sijui wametokea wapi..wachaga wenzenu na nina hizo statistics

leka mmbe, uyana uuu shi woru ng'i.

hahahahah
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyoka oyeèeeeeeeeh.
Mkuu usifanye vijana wakaogopa kuingia, kwenye pool nyoka ni wengi kuliko samaki.

Kwenye maandiko wanasema utapewa wa kufanana naye, hope Saint Anne atapewa wa kufanana naye kama walivyopewa akina Chakorii , Demi , snowhite na Mama mtumishi Heaven Sent

Wakati wengine wakilia kupewa wasiofanana nao Mama lao Sky Eclat na Babu Asprin wana adhimisha miaka 40 ya ndoa yao, what anniversary 😄😜🙌
 
Haki baadaye nitaenda kufukunyua nyuzi za Da Sophy. It used to be hoooooot,
 
Yaan if a man doesnt want you jamani hata ufanyeje. He will always find a way to create chaos. Its what i learnt. Wananichangamsha hawa watu[emoji23][emoji23][emoji2222] yaan nikikumbukaga nilivyokuaga mpole jaman pooh mbakaa.. nimechangamkaaa balaa.
You can't keep a person who doesn't want to be kept
 
Mimi bado Sijapewa usinizibie ridhiki Chief
 
Kupigwa tena? Sasa kwanini mnatunyanyasaga as if na sisi hatuna wazazi?
 
Mmh ujue nimeshindwa hata kushangaa, still he blames his wife for their separation. Anasahau yeye ndiyo source ya mkewe kuishia huko alipoishia hadi ndoa ikavunjika. Mke was trying to save her marriage, unfortunately akaishia kuipoteza kabisa.

Na wanawake wengi wanajikuta wanaliwa na wanaume wakware wanaojua kutake advantage za changamoto za ndoa zao. Anajifanya anakutia moyo, na kukucare kama kote, ukija kushtuka, ushaliwa na umegundulika umechepuka, unakula talaka yako fasta.

Kuna watu wanaoaga wanawake wazuri, lakini wanawatibua hadi wake wanapata vichaa vya ndoa. Unfortunatey sio kila mmoja ana hekima ya kuhandle kichaa chake, wengine ndiyo wanapoteza mazima. And yet we will crucify the wife, and feel sorry for the hubby. Mungu atusaidie wanawake.
 
msacha oko kirundioni...hahahahahahah
 
Kama ambavyo unataka baki na bintiyo na baba yangu ananitaka pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…