Am I wrong if I process divorce?

nitakuwa naye kwenye shida na raha=siyo shida mwanamke au mwanaume kumletea mwenzake ni shida za dunia zitakazowafuata ndiyo mzivumilie
kwenye dhiki na mateso= siyo mateso yakuletwa na uliyeoana naye ni mateso from out the family yanayowakuta siyo yakutafutiwa na mwenza
alichokiunganisha mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha= sawa kabisa hapo ukiondoka hakuna mwanadamu atakuwa amewatenganisha ni wewe mwenyewe umejitenga na hiyo dhahama ila ukisubiri ushauri wa kina DEMI hao ndiyo watakuwa wamewatengaisha tumia maamuzi yako mwenyewe
 
Nitakuwa mpole huku nikiria kamvinyo kangu...ubarikiwe sana. Hv muda bado eeeh bado nasubir mnipitie
Kikao kitaanza saa 2 usiku, muda huu unaweza kupata Wine yako kwa Mangi bill atakuja ku clear @aspirin mwenyewe πŸΎπŸ˜‹
 
Ipo ndani ACHa nijilipue kwanza...ume mu underate my @aspirin...kikao kitakugeukia ujue..yaan mm nikachukie wine kwa mangi akati huku nachagua tu ninywe nn....basi leo nachafukwa nakunywa ile Hennessy yake
 
Nilidhani Wine kubwa ziko nyumba kubwa ya Sky Eclat kumbe hata nyumba ndogo zipo πŸ˜€

Nimemwita Sky Eclat aje akujue mwenzake.

Funga milango na Mlinzi akae Getini, namjua yule asije kukuvamia πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»
 
Kumbe mm ni nyumba ndogo? Mbona hajawah niambia kama ana mke mwingine jaman
 
Nilidhani Wine kubwa ziko nyumba kubwa ya Sky Eclat kumbe hata nyumba ndogo zipo πŸ˜€

Nimemwita Sky Eclat aje akujue mwenzake.

Funga milango na Mlinzi akae Getini, namjua yule asije kukuvamia πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»
Uwiii I can't help kwa kweli....in hakika voice
 
Hiv kumbe mtu unaweza kuwa na masters lakin akil ya kujitambua huna,ondoka upesi and enjoy life,leave him for good,usingoje kupewa furaha ,raha jipe mwnyw,life is too short
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…