nitakuwa naye kwenye shida na raha=siyo shida mwanamke au mwanaume kumletea mwenzake ni shida za dunia zitakazowafuata ndiyo mzivumilieKiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye dhiki na mateso= siyo mateso yakuletwa na uliyeoana naye ni mateso from out the family yanayowakuta siyo yakutafutiwa na mwenza
alichokiunganisha mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha= sawa kabisa hapo ukiondoka hakuna mwanadamu atakuwa amewatenganisha ni wewe mwenyewe umejitenga na hiyo dhahama ila ukisubiri ushauri wa kina DEMI hao ndiyo watakuwa wamewatengaisha tumia maamuzi yako mwenyewe