Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Abuse is also addictiveUvumilivu wake sio wa kawaida, Ila nakwambia huyo dada haondoki hapo... miaka nenda rudi atakuwepo hapo hapo. Tunapoteza muda kumshauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abuse is also addictiveUvumilivu wake sio wa kawaida, Ila nakwambia huyo dada haondoki hapo... miaka nenda rudi atakuwepo hapo hapo. Tunapoteza muda kumshauri
Katika Ubora wako.Your husband is toxic in nature na hajiamini ndio maana ana hurt feelings zako, nikupe Pole we live once huyo kakufanya mtumwa kila jambo ufanye wewe na akupangie kuvaa mhhh nikupe pole wallah. Be strong asije kukusaababishia magonjwa kwa kupuuza ujinga wake na uenjoy life.
Sijawahi ona wazazi wangu wakigombana wala kudundana. Kwa hilo nimebahatikaWewe umeolewa?kama umelelewa kwenye ndoa hukuwahi ona wazazi wako wakidundana/au jamii yako na je waliaachana,una roho ya usimbe.
Yaeh naelewa, that's y tangu mwanzo nimesema tunapoteza muda kumshauri ataondoka mwenyewe yakimkoleaAbuse is also addictive
Ni nzuri kama wote mnapendana.Jamani mbona ndoa tamu hivii, nyie wengne mnakwama wapi?
Sio kweliKabisa, ndo wanaume wanataka mwanamke wa hivyo.
It does not matter,I am a man and I have abused women and I assure you it is very wrong.Very bad and very stupid.But it happens alot of other men do it and sometimes it starts with a woman or with a man but it is still wrong.Kuna mahali ulikosea na hukurekebisha. Inabidi ueleze wapi ulimkosea mumeo...
Au ni kwamba unapitia haya mateso kwa miaka 11 kwenye ndoa yenu?
Na akakutana na mwanaume kenge asiyejiamini na kujua majukumu yake.Sjamaliza kusoma nimepitia juu juu Ila naona kuna jambo ulikosea toka mwanzo.....we ni mwanamke Ila ukajipa majukumu ya mume ndani kisa tu unajiweza!
Ni rahisi kuongea tu, unafikiri hawajawahi kuw na good time?Mi ningeshasepa kitambo mbona
Ndio maana Karma haelewi somo lako kumbe.Pole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.
Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.
Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.
Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38]Ndio maana Karma haelewi somo lako kumbe.
[emoji23][emoji23][emoji23]andoza andoza we differ oooh ningekuwa Mimi sigeuki nyuma Wala staki ushauri bana Kuna wanaume ni toxic and selfish they don't care other people's feelings Mimi hata mtu nisiye kuwa na ukaribu naye huwa na feel bad kumuumiza loh.Katika Ubora wako.