Am I wrong if I process divorce?

vitoa nyege unatafutaje? au kwa kudanga?
 
Una hakika gani atarudishwa kwao akiwa kwenye jeneza??
Wewe mtazamo wako ni huo,
Mimi mtazamo wangu ni Mungu atambadilisha.

Sijaolewa bado na Mungu atanipa wa kufanana naye,siyo huyo unayemtaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
naona unazeekea nyumbani...pole dada....kama bado, ukishafika 30s ndoa bye bye
 
Vitoa nyege vingi ni choice yako tu hamu ikiisha unaendelea na maisha in peace bila kufatiliana na maujinga mengine.
wengine tukiona demu anajilengesha sana tunamkwepa...wewe itabidi utumie nguvu kudanga kwa kujilengesha
 
Umerogwa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake walivyoshambulia huu uzi halafu utakuta na wao wale wale au ni masingo maza.....

Anyway...

Mshakaa kikao cha usuluhishi au ukashair story yako na mshenga au ndugu/mama shangazi n.k?

Au ndugu zake?

Au mshauri wa ndoa yenu?
Muwe mnasoma .....ameshajieleza yote hayo yamefanyika sana na imeshindikana
 
Hahahaaaa

Nimecheka kweli,yaani wee jamaa ni contradiction tosha

Umetukana hapo juu halafu mwisho ukatupia mstari wa biblia kana kwamba wewe ni mtu wa mungu sana yaani...

Heri sisi ambao hata hatuamini kama yupo,we know our place
Hahaha!. Mkuu unatakiwa ung'ate alafu upulize kama Panya 😂😂😂.

Huko chini kwa sababu ni mwokovu basi nikampa maneno ya Biblia kusaidiki kuwa uvumilivu na haki ufanye kwa kiasi kuhalalisha ninachomuambia.
 
Gardem Demi is that you?!😅
 
Haya makanisa hayana msaada wowote ndoa zikiwa na matatizo, Ni mtu kutumia akili...huwezi ishi na mtu ambaye una uhakika kabisa nia yake ni kukuua
 
Mkuu, shida nyingi zinavumilika...lakini shida ya kupigwa makonde binafsi naona haivumiliki. Atachezea kipondo na kuna siku atakata moto mazima!!!
 
point kubwa nimeshika hatujasikia upande wa pili

let me keep quite for now maana kusikiliza upande mmoja nayo ni tabu inayotukumba wengi.
 
Ndoa za early 20’s huwa zinahitaji watu wakomavu sana aisee😅😅😅 mkikurupuana ndio yanakuja tokea haya!

Mwamba bila kuambiwa tu najua lazma ni mtoto wa kichaga, top of the list when it comes to careless guys ni hawa jamaa😀! Anaweza akaoa halafu akawa busy na malaya tu tena wanaoneaga mabinti waoga waoga na wapole wanawapiga matukio kichizi wao pombe,mpira na washkaji!
 
Kuna mtu alihack account yangu, ndo sasa hivi nimefanikiwa kuirudisha. Watu wabaya sana
Hata mie naona, but najua ulisema worst mistake is a man putting his hands on you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…