Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Pole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.

Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.

Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.

Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.
THIS is why women are seen as STUPID creatures.
 
peace of mind na kufanya mambo kwa kushirikiana,,,kutojilinganisha na watu wengine badala yake tafuteni mbinu how are gonna move on tuweze kufika malengo fulani ambayo offcourse mnakuwa mmeshaweka kwenye malengo yenu.

kufanya jambo lolote bila malengo ni sawa kusubiri ndege feri.

if you don't plan you plan to fail.
True story yani hapo muwe on the same page mu strategize mipango ndio mtasogea
 
You spoke with so much bitter...I take it positively..itanivusha hii msg naamini
Siwezi kukwambia mengi hapa maana huwa nina hasira na mambo Kama haya...maamuzi ni yako. But kama uliyoyasema hapa ni sahihi kwa asilimia zote hujamsingizia mume wako..please..you better run.
 
Wewe ni wife material, wewe ni mwanamke kati ya wanawake wachache waliopo duniani, ila shida umekutana na zombiwisee.. Hana hadhi wala haki ya kufanyiwa uliyomfanyia.. Shika njia yako uende mamii, afya yako muhimu mnoo.. Kwake huna thamani kuna watu wanakuthamini na kukuhitaji kinoma noma(wazazi, ndugu jamaa na marafiki, mtoto wako)..

Wapo wanaume wachache wanaojielewa, ika kuwapa ni NTITI(Kujisemea wamakonde)

Sijui kwanini ni mtihani kumatch mwanamke saafi na mwanaume swaaafi.. [emoji848]


Mmoja akiwa malaika mwingine lazima awe makata kama sio subiani kabisa.

Wachache mnoo ndio wanabahatika.
kweli tupu
 
Na yeye ndo atakua wa kwanza kupiga umbea kwenye mazishi, kunong'oneza wenzake, "Kauwawa kwa kipigo cha mumewe, alikua anampiga mara nyingi tu, ila aling'ang'ana sababu ya mali".
🤣🤣🤣🤣 Ndo tulivyo
 
Niseme tu we mleta mada ndio tatizo maana uwezi fanyiwa hayo yote kwa Karne ya Sasa na bado upo upo tu huelewi ufanye nini!

Et unalipa ada za wa Toto wewe,unalisha familia wewe,bills unalipa wewe,unapigwa wewe.

than mwamba ni mfanyabiashara tena biashara inayotema kipato Cha maana na ataki kukupa support yeyote na bado unataka kuambiwa ni nn Cha kufanya?

Ata mm nikikufanyia hayo yote na bado ukanivumilia sintakua na msaada na wewe yaan wewe kwangu ni mtumwa tu.i
I did what any mother would do..asiende shule mtoto? Sababu nashinda nae? Namkomoa mtoto..that was his level of stupidity I would say. Mtoto wangu hapaswi kuwa victim wa hili..at least not when am alive. Asiende shule kisa amegoma kulipa ada??
 
No lengo sio kumdunda lengo ni kudekezana tu maana mwanamke ambaye yuko submissive namna hio hawezi kukufanyia madhila na kero! Na mipango itaenda maana hamna mabishano ya kiduanzi! Yani mwanamke wa hivyo simpigi kwa namna yeyote maana sababu hasa za kumpiga zinakuwaga hamna!
Hapo nimekuelewa. Big up kwako. Ndoa raha sana mkikwaruzana kwa kuheshimiana...kila mtu asimame kwenye nafasi yake bila mmoja kumuonea mwenzake.
 
i wish watu tungejua hili yaani maisha ni raha mustarehe
Sasa watu wamekalia kulaumiana yani mtu na mwenzie mambo hayaendi mke kakazana kumlaumu mumewe hataki kuelewa kwamba kuna muda vitu vinastuck! Kero inazidi sasa mke anakuwa sio comforter ila mtu wa kupondea! Mwisho siku mambo yamefunguka mume kwanini asiokote mchepuko ukasuswa hapo na ujinga wako na kero zako!
 
Sasa watu wamekalia kulaumiana yani mtu na mwenzie mambo hayaendi mke kakazana kumlaumu mumewe hataki kuelewa kwamba kuna muda vitu vinastuck! Kero inazidi sasa mke anakuwa sio comforter ila mtu wa kupondea! Mwisho siku mambo yamefunguka mume kwanini asiokote mchepuko ukasuswa hapo na ujinga wako na kero zako!
yaani unachosema ni kweli, too much blaiming the other side is not solving the matter, uliza ujue kwa nini mambo yamebadilka na msolve pamoja if at all inawezekana.

ila all in all peace of mind is the goal
 
Sijiwezi..nipo kawaida sana. Ninaishi kawaida. Niliyabeba sababu yeye alikuwa anajenga nyumba niliohisi ni yetu na watoto
Acha mwanaume awe mwanaume tu! Anachokosea ni kukupiga na wewe ushamzoesha, anakupigaje unavumilia? Ungeweka lockup ata siku mbili angejua huintatein mavitu km izo, ndoa hainogi bila hayo shouger......Ajenge asijenge ila bills zote aclie si ndo kichwa cha familia?? Afu toka mwanzo ulimuonesha yaan yeye ndo maisha yako bila yeye huwezi, ungempuuza mazarau yake, ufanye mambo yako, akikupa maneno ya kejeli mjibu kwa kutokujali wala kulalamika, yaan akikuponda mwambie ndo nishakuwa km nilivyo na ulinipenda ivo ivo na najipenda nikiwa hivi, bills zote zikija mpe bila kujali habari za ujenzi wala nini umeme ukikata nunua ata wa buku akiwa hayupo Ila akifika mkumbushe umeme hakuna, pesa ya mboga, watoto salon, mavalio yao, sjui mchele,sukari,chumvi, gas, vyote ni juu yake! Kuna wanawake mnapenda kuishi km wajane sjui mkoje🤣🤣🤣🤣
 
yaani unachosema ni kweli, too much blaiming the other side is not solving the matter, uliza ujue kwa nini mambo yamebadilka na msolve pamoja if at all inawezekana.

ila all in all peace of mind is the goal
Yeah yani bora hata mwanamke kama hawezi kuinput mawazo yenye tija basi awe chief comforter na kukufuta jasho mume ili akupe boost ya kupambana zaidi kuwa ipo siku you will make it! Sasa mwanamke anageuka mchambaji 😅😅😅
 
I did what any mother would do..asiende shule mtoto? Sababu nashinda nae? Namkomoa mtoto..that was his level of stupidity I would say. Mtoto wangu hapaswi kuwa victim wa hili..at least not when am alive. Asiende shule kisa amegoma kulipa ada?
Nyie kumbe duniani bado kuna wanawake maboyaaa kiasi hikiii mbona hatushtuani...😀😀😀
 
Ametunga story ila ukwel mwamba ni mtakatifu wanawake Wa sasa waongo waongo

Anadanga apate boya Wa kumkamua jukwaani wapenda wowowowo
Sio mtu wa kuumia kwa mambo ambayo najua siyafanyi na sitarajii kuyafanya..ningehitaji kufanya hivyo ningefanya tu kwa mahali ninapofanyia kazi kwanza. That is just not my cup of tea
 
Yeah, huwezi sema unanipenda hlf unanidunda. Mengine mengi navumilia,na yeye anavumilia mengi tu.
Ndoa ni tamu sana sometimes 😄😄, sasa hivi kwangu ni Tamu mnooo
Hahahahah naona ameacha kuchepuka sasa 😅 na kahama mkoa aliokuwepo mpinzani wako
 
Back
Top Bottom