Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Watu mnapenda kushauri divorce ndoa za watu, navojua aliyekomaa ktk ndoa haezi kurupuka kushauri kuachana.....wengi wenu mnaoshauri kirahisi divorce HAMJAOA WALA KUOLEWA....WASIMBE
 
Bro, niamini mimi.
Yaani story ya hivi ni kati ya vitu vichache ninavyoweza kukuhakikishia kwa asilimia 80 kwamba jamaa ana shida kwenye kupiga pipe. Labda tu huyu mtoa mada awe ameongezea chumv za kwake mwenyewe.
Its sex psychology 101.
MWANAUME MALAYA ANATOMBA NDANI NA NJE....!! Mark that!!!
NDANI NA NJE.👏👏👏👏
 
Jamaa Tambo bovu aisee! Sasa kaamua am bully mtoto wa watu kisa mtoto ni kisu duh[emoji28]!!! Umeoa mke kisu halafu tambo limezingua dah kmmke walai!

Ila yale makitu si yanatibika, mke atakuwa kamuonea aibu kumchana ila jamaa nae kaona njia ni kumkwepa tu!
Badala ya kuuzima moto katumia njia ya kuchochea kwa kutia petroli, analo sasa maake mleta mada keshapata suluhisho anaondoka zake
 
Damn lady, unanikumbusha nyimbo ya “Ashanti rain on me” na movie flani ya MYA inaitwa “Love for sale” alikuwa na mchizi bully in the same situation as yours! That nigga was overly jealous [emoji28][emoji28][emoji28] kiasi kwamba alikuwa anam suffocate demu wake yani...finally real man alijibebea mzigo kilaini!

I hate to see such innocent kind of Lady crying adi nimelia hapa kwa uchungu [emoji37] but you got to hold yourself tight and beat the hell out!
ile movie kali sana
 
Unaweza shauri divorce kumbe mwenzio kaandika tu kupunguza hasira Ila hana hata wazo la kutengana na mumewe....ushauri wa kuachana kama mtu anakatazwa kula ugali dagaa kirahisi ivo ni mgumu mnoooo
Siku zote ushauri utabaki kuwa ushauri... but ukisoma alichoandika mkuu mwenye mada utagundua she real needs help na kuwa hana hasira kwenye maandishi yake.
Huyu dada ni mke bora kabisa (in my perspective) lakini jamaa anamlet down.
 
LEEEEEEAAAAAAVEEEEEEEEEEEEE hata kama una earn sh 50,000 ni yako hata kama utalala chini na ule mlo mmoja ni sawa u have ur sanity and peace of mind haya mengine Mungu atasaidia... baby girl LEAVE-
 
My dear nakuelewa sana. Myself ni muhanga wa matukio kama hayo. Ila wangu hapigi ila he's never at home, hana time na mimi kabisa kila siku anarudi saa 6,7,8,9 usiku. No sex for 8 years now sio kwamba sitaki yeye ndio hataki. Mwanzoni i used to cry a lot lakini nimekuwa sugu. I dont ask tena simuulizi hata arudi asubuhi. I stoped buying chochote kwa nyumba. He buys everthing including hela ya petrol na ya kula kazini, Ila anafanya vyote but hakuna upendo kabisa. Hana cha Jumapili wala sikukuu akitoka kurudi ni very late hours. Nilidhani nikikaa kimya atabadilika ajiulize why i dont ask, kumbe mwenzangu ndio anachekelea uhuru wa manyani. Marriage life bila sex ndani ya nyumba pains a lot. Ana michepuko kila kona nilikoma kushika simu yake. Najenga nyumba he knows na hana hata interest ya kwenda kuangalia maendeleo.
Miaka 8 duh seriously
 
Siku zote ushauri utabaki kuwa ushauri... but ukisoma alichoandika mkuu mwenye mada utagundua she real needs help na kuwa hana hasira kwenye maandishi yake.
Huyu dada ni mke bora kabisa (in my perspective) lakini jamaa anamlet down.
Unaweza jitolea uendelee nae ila ukashangaa akakulet down wewe bana yani mapenzi haya 😅😅😅
 
Sijasoma yote lkn wewe mwenzetu umelogwa acha upumbavu. Unasubiri divorce ya nini? Ili iweje yaani? Huna maamuzi binafsi hadi jamii ikuamulie?

Unashindwa nini kumuacha uondoke then ushughulike na divorce baadae? Hata tukikushauri hapa hutatekeleza ushauri wetu utaendelea kugandana hapo.

We baki na msela wako, hilo ndo chaguo lako ndoa ni uvumilivu, vumilia dada..thawabu utaipata mbinguni. Ukiachika tutakucheka utakosa heshima kwenye jamii kifupi utadharaulika. Shikilia hapo hapo udundwe hadi akili ikukae sawa.
God fearing my foot.
Nimekuelewa madam.
 
Pole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.

Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.

Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.

Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.
Dada una ukatili ndani kwa ndani.Muonge Mungu/miungu unayoabudu ikufungue
 
My dear nakuelewa sana. Myself ni muhanga wa matukio kama hayo. Ila wangu hapigi ila he's never at home, hana time na mimi kabisa kila siku anarudi saa 6,7,8,9 usiku. No sex for 8 years now sio kwamba sitaki yeye ndio hataki. Mwanzoni i used to cry a lot lakini nimekuwa sugu. I dont ask tena simuulizi hata arudi asubuhi. I stoped buying chochote kwa nyumba. He buys everthing including hela ya petrol na ya kula kazini, Ila anafanya vyote but hakuna upendo kabisa. Hana cha Jumapili wala sikukuu akitoka kurudi ni very late hours. Nilidhani nikikaa kimya atabadilika ajiulize why i dont ask, kumbe mwenzangu ndio anachekelea uhuru wa manyani. Marriage life bila sex ndani ya nyumba pains a lot. Ana michepuko kila kona nilikoma kushika simu yake. Najenga nyumba he knows na hana hata interest ya kwenda kuangalia maendeleo.
Aisee hili swala limekuwa serious sasa😅 ina maana hawa watu ni wa kuanzishiwa uzi kabisa wanaosusa mboga nyumbani! 8 years ukae na mwanamke binti wa mtu humkazi? Yani toka 2013 jamaa ajafunua kyupi chako hadi jembe Magu katawala hadi kafa na kuzikwa 😅???

How do you deal with it?
 
C* kama ndoa ilikuwa kanisani uko free,,, if you are sure kuwa he's cheating then hauna bond tena na huyo mtu,, kasome mathew 5 i think ni from verse ya 27,, now u are free,,to leave him,,, confront him and walk away,,, don't wait for the situation kuwa worse

"You've got to know when to hold 'em Know when to fold 'em Know when to walk away And know when to run" alijiimbia Kenny Rogers

Miss its time to run away,,, u treat yourself with dignity na hakuna mwenye haki kukutreat less than that,,, PLEASE WALK AWAY,,, I'VE SEEN HOW THIS SHIT TURNS TRUST ME HAUTATAKA KUWEPO WHEN HE WILL RAIN HELL ON YA
PLEASE WALK AWAY
 
For my past experience i was through that with my fiancee and it was bad yaani inafikia muda unasema basii.
Sasa nilikuwa nakuja huku kutafuta wakutulia naye nao wewe ni malaya this that maneno mengi i was through hell.
No life no job no anything anything I do walai sina cha maana .
Biashara hasara unatoa hupokei .
Mie nikaachana naye nikasema enough mwanaume anahela ,kampuni sio moja tatu.
Ila ananitext anaomba elfu shirini gari limeharibika.
Ila bar kila daily na wanawake wananipigia simu mie mke wa J ofcourse unamuuliza anajibu jeuri alikuwa hanipigi because mie ananijua kwetu nifire.
Maisha yalinikosesha raha naumwa tu kila daily pressure za hapa na pale.
Hakuwa na wivu ila madharau naomba j hiki kadangee upate hela hapa nakufa kabisa naumwa ananiomba elfu kumi.
Kuna kipindi naumwa sana akanunua gari jipya ndugu na marafiki wakamwita akasherekee.
Mengi alifanya na humubwalifanya nikaomba ushauri kwa mtu wa humu nikaona ngoja niende kweli nikajua alichukua nyota yangu , haja ndogo nakubwa nywele za makwapa na za huko kwa bibi na zakichwani na kivuli ndio mambo yake yakawa mazuri zaidi nilipojua my nilimwambia akahama kaenda kuishi njee.
Waleo alikuwa anacheza na alivyovichukua ila kiukweli nilipona nilipigana naye hadi akaachia nyota yangu.
Saivi nimeolewa naitwa mama wawili vivulana vyangu amazing .
Wakorofi , wananipa raha sio tu ninao hao na mapacha wengine wao wadogo sana bado wasichana.
All in all maisha nikuparangana.
Mweke Mungu wako katika mambo yako kwa maana yeye ndio anaweza ila mie wapi.
Nilipewa namba humu humu nikaenda kumuonyesha mbwa yule kuwa hapa ni town.
Basiiii .
Nikutakie siku njema.[emoji6]
Ila wewe mwongo sana!
 
Back
Top Bottom