Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Hello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?

I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married when I was in my early 20s. Graduated my masters in my very early 20s as well.

It has never been a peaceful marriage pamoja na jitihada nyingi nilizofanya mimi kuisimamia na kujinyenyekeza kwa kuweka elimu na appearance yangu pembeni. Kifupi tu ya ninayopitia;

1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)

2. Hakuwahi kuja msiba wa baba yangu mzazi sababu kuu 'alikuwa na washkaji trip'

3. Sijui sh.yake japo anajenga..so i pay for house and family needs mpaka nilipojua ameandikisha hio nyumba jina la ndugu yake

4. Gari pia nilimpa hela akaninunulie yard hapa mjini karudi kaiweka jina lake. Sio kwamba hana hela..no he is financially stable.( sijui ananikomoa nini na sijawahi kutishia kuondoka wala nini-kwa wanaonijua nje wanaweza kuthibitisha hili)

5. Restrictions with my dress code. Anataka nishone vitenge mpaka miguuni. Ana wivu wa ajabu sana na mimi kupendeza au hata kusuka nywele hataki. Hataki nivae suruali,jeans and he found me wearing all those.He wants me rough NOW na anasema nataka kupendeza kwa ajili ya nani? Ananitumia mpaka threads sijui za wanawake 'wenye makalio makubwa hawana akili' nijitathmini na mimi(he picks everything from the internet). Hili halinisumbui sana because i know nina akili ya shule na maisha pia

6. Sex life is bad..very bad( nilishakamata mengi kwenye simu yake). And to be honest it is better this way..kwamba hatushiriki like normal married couples miezi minne sasa na wala hajali yani sawa tu kwake. Binafsi nitavumilia sababu afya yangu matters a lot

7. Sijawahi kumjibu chochote, ninaomba msamaha hata ninapokosewa, ninaandaa bedroom na scents nzuri, napika napeleka mtoto kwa dada yangu for sleep over ili tupate muda fulani ila ndio anarudi alfajiri na asubuhi ananiuliza nani kanifundisha mambo ya kihuni. Vikao vilishakaliwa mno..i know for a fact, he won't change.

8. I have shared my case kwa mtu mmoja tu,a man lately..ambae amekuwa so concerned na sijui tutaenda nae wapi as am beginning to fall in love na yeye(najua inabidi niwe muangalifu kwa wanaokuja kusikitika na mimi kumbe amenitamani tu kutokana na physical appearance and all that)

Sijaacha kuwa msafi..sijaacha kujipenda BUT i am dying deep down. NO LOVE NO SUPPORT hata ile kidogo na sijamuongelesha kwa mara ya kwanza toka anipige miezi 4 iliopita na kulazwa(sababu hapa ilikuwa sikuvaa nguo kama madira ambapo kazini siwezi kuvaa japo navaa kiheshima sana yet smart)na kisha kurudi nyumbani baada ya kusuluhishwa..hajui naishi vipi japo nina kazi yangu ni kama KAKA NA DADA.

Our wedding was a church wedding. NIMECHOKA. Sijui naanzia wapi kutoka but ninahitaji kutoka kwenye hiki kifungo

I believe atakuja kunifukuza kwenye nyumba alioiandika jina la ndugu yake. Maana hapa ni kama mpangaji na hela anayo mpaka ya kunywa ma hennessy kila weekend. I am a God fearing person deep down..sana! Sikuwahi kuwaza kwanini wengine wananunuaga viwanja pembeni..na nilikuwa mtu wa kwanza kupinga wanawake wa aina hii.

Ninasukumwa kuanza 'ku save kidogokidogo' na kupunguza kulisha familia ili nijipange na kibanda changu japo najiuliza mpaka nimefanikiwa kumaliza kujenga sio leo wala kesho i assume(kutokana na nachoki earn) na nitakuwa tortured kwa level ipi mpaka nimalize kujenga. Niko confused hasa

But I need advice..ninachanganyikiwa hata kazini performance inashuka.
Kindly advice
Hapo no. 2
Ninakupa ruhusa kuvunja uhusiano huo
 
Mkuu usifanye vijana wakaogopa kuingia, kwenye pool nyoka ni wengi kuliko samaki.

Kwenye maandiko wanasema utapewa wa kufanana naye, hope Saint Anne atapewa wa kufanana naye kama walivyopewa akina Chakorii , Demi , snowhite na Mama mtumishi Heaven Sent

Wakati wengine wakilia kupewa wasiofanana nao Mama lao Sky Eclat na Babu Asprin wana adhimisha miaka 40 ya ndoa yao, what anniversary 😄😜🙌
Haya maisha ukikaa kuongozwa na kushindwa walikoshindwa wenzio utasanda.
Kuna mtu huko anapasua miamba ili ahakikishe simponyoki, miiiiiimi Anaconda wake.

Ni kujichukulia tu anaconda lako na kujua unaishi nalo vipi.
Likikushinda ,liacheeeeee.
Yupo mwingine analimudu na linakuwa kama nyungunyungu.
 
Ni kujichukulia tu anaconda lako na kujua unaishi nalo vipi.
Likikushinda ,liacheeeeee.
Yupo mwingine analimudu na linakuwa kama nyungunyungu.
Of course best, hakuna mkamilifu chini ya jua.

Muhimu kuchukuliana, mkishindwana vyema kila mtu ashike 50 zake.

Maisha yenyewe mafupi 🥂
 
Pole sana mdau, cha kwanza kwa namna yoyote ile na sababu yoyote ile kupigwa hakuvumiliki. Wewe sio mtoto mdogo.

Ushauri wangu, ondoka ukaanze maisha yako upya. Usiogope nini watu watasema ila ni kwa ajili yako. Pili kama moja ya wachangiaji alivosema hapo juu, usikurupuke kuingia tena kwenye mahusiano, pata muda wa kutosha wa kuregain whatever ulichopoteza. Cha kwanza ondoka mambo ya divorce and everything will follow.
 
Unaonekana kua na hekima saana ku compare na wife (tupo kwa divorce process).
Yeye alitafuta mwanaume was kumweleza changamoto za ndoa yake akaishia kuliwa na kukosa ndoa yake.
Pole saana make sure unagundua Kama ana zini nje ndio uamue ku divorce japo si Jambo jema ila kabla ya hapo OMBA saana maana utakapoamua ku divorce anaweza kukuDhuru.

Hakika penye miti hapana wajenzi.
Nashukuru sana japo nilishathibitisha yeye kuzini nje..dharau iliongezeka na vipigo. Nipo tayari kwenye mchakato wa divorce na sihitaji ndoa tena maishani mwangu. Pole sana kwa changamoto the world is full of surprises,POLE
 
Sasa mimi na hiyo migahawa ya kizungu zungu ndo ushanikosa kabisa yani.
Unajua mapenzi ni upofu, kwahiyo utakapo sema sehemu yeyote nitakwenda.

Nina hamu ya kula dinner meza moja nawe😋😋.

Afadhali siku moja moja nikumbuke Ujana miaka ile ya 58 tunakula meza moja na binti wa Gavana Richard Turnbull 😜😜
 
Unajua mapenzi ni upofu, kwahiyo utakapo sema sehemu yeyote nitakwenda.

Nina hamu ya kula dinner meza moja nawe😋😋.

Afadhali siku moja moja nikumbuke Ujana miaka ile ya 58 tunakula meza moja na binti wa Gavana Richard Turnbull 😜😜
Yaaa mapenzi ni upofu kabisaaaa...

Usijali itafanyika namna tu G
 
Kwa ajili ya maandalizi ya mtoko, chagua kiatu na handbag kitakacho kupendeza. Kumbuka wazee tulishamaliza kusomesha 👠👡👜👛

CC
Asprin
1839EDFC-2B67-40C1-A41E-C36F2E1A073A.jpeg
 
Kwa ajili ya maandalizi ya mtoko, chagua kiatu na handbag kitakacho kupendeza. Kumbuka wazee tulishamaliza kusomesha 👠👡👜👛

CC
Asprin
Aisee we jamaa nakushukuru sana kunialika kwenye hili jambo la msingi kabisa kwenye hizi ishu za uchumi wa kati...

Ngoja nifuatilie mjadala kwa kina afu tuangalie namna ya kuanzisha chama...

Katiba mpya itafuata baadae
 
Back
Top Bottom