karucee this club ya this category is jus tooooooo big!Yes, u may love another while you are married. Kwanza mi naona I might fall victiom to loving another yet am married. Kongosho love is a psychological need. Mapenzi kwenye ndoa yakipungua, kero zikizidi, the heart goes wandering and depending on how things turn out voila! You find yourself in love again.
Ur post made me happy. Sijui kwann.
Acha hizo wewe....hamna lolote....unalumanga tu....Ricky, mbona unaweweseka?
Ngoja nimpe ajilie vyake anastahili lol.
Tena apakue atakacho, kama firigisi au paja
kama kipapatio au kifua
kama shingo au mgongo
mradi apate atakacho.
Bado uko IN love au tayari uko OUT of love? Maana huelekewagi wewe. Jana baada ya kupiga mavaluu ukaanza kuweweseka oh i am love,u fall in love wewe umekuwa cleopatra?
nongera mwaya kongosho, i knw exctly how it feels, ol the best and make sure anajua will help u sana!
Dah Nilishapendwa na Wake za watu wawili kitambo kibaya zaidi wa walikuwa wananiambia wananipenda zaidi ya Mume zao niliogopa sana na ki umri wa kwanza alikuwa kanizidi ya miaka 2... na mwingine 6..
Hahahahaaaaa Kongosho hakuna kiroho wala niniRicky, mbona unaweweseka?
Ngoja nimpe ajilie vyake anastahili lol.
Tena apakue atakacho, kama firigisi au paja
kama kipapatio au kifua
kama shingo au mgongo
mradi apate atakacho.
Hahahahaaaa match kasema hataki tena
ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?
Unanchekesha!Nimezama, nimezama kwa mapenzi
(kama kuna mwenye hii taarabu aniwekee)
utajibeba, mie ndio niko deeply taken.
Ngoja nikuPM jina lake afu uniambie kama niko sawa, ujue wee mjomba wa hausigelo wangu nakuheshimu sana.
Si bora ya ugali,kama ni msosi wewe ni makande tena ya usangi.halafu ujue we konnie wewe....halafu nenda kamsome erotica,kafungua uzi...'sex in marriage...arumange kwani mie ugali?
Yaani miwivu itakuua leo.
Tena huyo amekaribia kuja, utajibeba leyo.
Chezeiya Konnie in love.
Umeona eeeh huyu Kongosho anaweweseka tu siunajua la mkosaji?
Twende zetu Chit Chat tukajichagulie dogodogo wa ukweli ukizingatia mafiga 5 yameruhusiwa
Hataki ana jeuri? Nania amtake Bishanga akamfie kifuaniHahahahaaaa match kasema hataki tena
Bazazi, usiunganishe matukioKongosho! Nisidieni kwani penzi la hawara linataka kuvunja ndoa yangu. Mbaya zaidi nimenasa na kuitoa mimba yake ingawa tuligombana sana kwani hana mtoto na alitaka tuzae wote. Nilipata shida sana ili mume wangu asijue kama nina mimba. Ninasikitika stki kuDU na Mr kwani nahisi kama ninacheat kwa KUDUMU changu.
Hapa sijui imekaaje? Nisaidieni