Am in love . . .

Am in love . . .

Yes, u may love another while you are married. Kwanza mi naona I might fall victiom to loving another yet am married. Kongosho love is a psychological need. Mapenzi kwenye ndoa yakipungua, kero zikizidi, the heart goes wandering and depending on how things turn out voila! You find yourself in love again.
Ur post made me happy. Sijui kwann.
karucee this club ya this category is jus tooooooo big!
yaani mi i hav vivid examples kabisa! but what matters ni mtu kuwa happy and thats it.
 
ungejua mie namuona kwenye sufuria, nikinywa maziwa namwaga kwa ajili yake.

Hakuna kitu...
hivi na wakubwa huwa wanadanganyana?
mara nakuona kwenye glass mara sipati uthingizi lol
kaazi kweli kweli
 
nongera mwaya kongosho, i knw exctly how it feels, ol the best and make sure anajua will help u sana!
 
Dah Nilishapendwa na Wake za watu wawili kitambo kibaya zaidi wa walikuwa wananiambia wananipenda zaidi ya Mume zao niliogopa sana na ki umri wa kwanza alikuwa kanizidi ya miaka 2... na mwingine 6..
 
Ricky, mbona unaweweseka?

Ngoja nimpe ajilie vyake anastahili lol.

Tena apakue atakacho, kama firigisi au paja
kama kipapatio au kifua
kama shingo au mgongo

mradi apate atakacho.

Nilikuwa nakuharibia nikupatie Kongosho kumbe Kongosho mwenyewe kimeo
Ngoja niende zangu kwa akina dogodogo
Huyu anawafaa akina Asprin
 
Last edited by a moderator:
Ricky, mbona unaweweseka?

Ngoja nimpe ajilie vyake anastahili lol.

Tena apakue atakacho, kama firigisi au paja
kama kipapatio au kifua
kama shingo au mgongo

mradi apate atakacho.
Acha hizo wewe....hamna lolote....unalumanga tu....
 
Nimezama, nimezama kwa mapenzi
(kama kuna mwenye hii taarabu aniwekee)

utajibeba, mie ndio niko deeply taken.
Ngoja nikuPM jina lake afu uniambie kama niko sawa, ujue wee mjomba wa hausigelo wangu nakuheshimu sana.

Bado uko IN love au tayari uko OUT of love? Maana huelekewagi wewe. Jana baada ya kupiga mavaluu ukaanza kuweweseka oh i am love,u fall in love wewe umekuwa cleopatra?
 
arumange kwani mie ugali?

Yaani miwivu itakuua leo.
Tena huyo amekaribia kuja, utajibeba leyo.

Chezeiya Konnie in love.

Acha hizo wewe....hamna lolote....unalumanga tu....
 
I feel good, tiriri, so good, titi so good.

Tena ngoja nitafute ule wimbo wa true colour nimtumie salamu mchana via Radio One.

nongera mwaya kongosho, i knw exctly how it feels, ol the best and make sure anajua will help u sana!
 
nikupe pole au hongera?

Anyway, ni experience, si ya kubeza.

Dah Nilishapendwa na Wake za watu wawili kitambo kibaya zaidi wa walikuwa wananiambia wananipenda zaidi ya Mume zao niliogopa sana na ki umri wa kwanza alikuwa kanizidi ya miaka 2... na mwingine 6..
 
he he he cha kuwatema kinatemwa??

Usimtie Babu Asprin hasira bure, nilipokutema wewe ukadhani nimetema kila mtu?

Aspirin kamtema long time anasema konnie amezidi kusoma gazeti.
 
usimsikilize Bishanga, ana hamu sana nimpe mechi ya majaribio.

Na mie simpi ng'o!

Hahahaa anasoma wakati wa perrmance au muda gani?
Km hvyo Kongosho noma au ndo uzee umemzidi?
Inawezekana na Asprin nae kwishney
 
Last edited by a moderator:
Ricky, mbona unaweweseka?

Ngoja nimpe ajilie vyake anastahili lol.

Tena apakue atakacho, kama firigisi au paja
kama kipapatio au kifua
kama shingo au mgongo

mradi apate atakacho.
Hahahahaaaaa Kongosho hakuna kiroho wala nini
Mi nshaachana na wewe nasikia Asprin kakuacha kisa unasoma sana magazeti wakati wa tamtam
 
Last edited by a moderator:
Acha hizo wewe....hamna lolote....unalumanga tu....
Umeona eeeh huyu Kongosho anaweweseka tu siunajua la mkosaji?
Twende zetu Chit Chat tukajichagulie dogodogo wa ukweli ukizingatia mafiga 5 yameruhusiwa
 
Last edited by a moderator:
ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?

Kongosho! Nisidieni kwani penzi la hawara linataka kuvunja ndoa yangu. Mbaya zaidi nimenasa na kuitoa mimba yake ingawa tuligombana sana kwani hana mtoto na alitaka tuzae wote. Nilipata shida sana ili mume wangu asijue kama nina mimba. Ninasikitika stki kuDU na Mr kwani nahisi kama ninacheat kwa KUDUMU changu.

Hapa sijui imekaaje? Nisaidieni
 
Nimezama, nimezama kwa mapenzi
(kama kuna mwenye hii taarabu aniwekee)

utajibeba, mie ndio niko deeply taken.
Ngoja nikuPM jina lake afu uniambie kama niko sawa, ujue wee mjomba wa hausigelo wangu nakuheshimu sana.
Unanchekesha!
Source:FF.
 
arumange kwani mie ugali?

Yaani miwivu itakuua leo.
Tena huyo amekaribia kuja, utajibeba leyo.

Chezeiya Konnie in love.
Si bora ya ugali,kama ni msosi wewe ni makande tena ya usangi.halafu ujue we konnie wewe....halafu nenda kamsome erotica,kafungua uzi...'sex in marriage...
 
Umeona eeeh huyu Kongosho anaweweseka tu siunajua la mkosaji?
Twende zetu Chit Chat tukajichagulie dogodogo wa ukweli ukizingatia mafiga 5 yameruhusiwa

Unapenda dogodogo wasojua kuoga wala kutunza?
He he he, ndo maana mwaingia ofosini vitovu nje hakuna wa kuwapigia pasi
Nikupe pole kama samaki weee

Hahahahaaaa match kasema hataki tena
Hataki ana jeuri? Nania amtake Bishanga akamfie kifuani
Akiona goti tu anaanza kulia, kwingine si atakufa
Bishanga = Murder Case

Kongosho! Nisidieni kwani penzi la hawara linataka kuvunja ndoa yangu. Mbaya zaidi nimenasa na kuitoa mimba yake ingawa tuligombana sana kwani hana mtoto na alitaka tuzae wote. Nilipata shida sana ili mume wangu asijue kama nina mimba. Ninasikitika stki kuDU na Mr kwani nahisi kama ninacheat kwa KUDUMU changu.

Hapa sijui imekaaje? Nisaidieni
Bazazi, usiunganishe matukio
Utapoteza ushahidi bure
Hii sredi ni 'entity' inayojitegemea special kwa mkulima fulani hivi
Tatizo mkulima mwenyewe hata kusoma hajui
 
Back
Top Bottom