Am in love . . .

Bazazi[/B], usiunganishe matukio

Dada yangu Mpendwa Kongosho, sijaunganisha matukio bali nimejaribu kukukumbusha kuwa watu wote huanguka kirahisi katika mitego mibovu hasa baada ya WEYE kumshangaa huyo Mkulima. Ni kukukumbushana tu Mpendwa wangu.
 
Ni pepo la ngono tu. Kama mapenzi yanapungua ndani ya ndoa unatakiwa kuhudhuria semina za ndoa
 
Nachojua "Gravitational is not responsible for people falling in love" Albert Einstein

Kwa leo, am not responsible for this, it just happened lol
Ukinipa lift kwenye hicho chombo nitakudadavulia

Kongosho si unajua mimi na mind Chemistry ya sweetness of the Fanta? ... dadavua basi.. Lol!!:israel:
 
Siku hizi kula kitu ni pepo, hivi hamjagundua pepo la maralia?

Ni pepo la ngono tu. Kama mapenzi yanapungua ndani ya ndoa unatakiwa kuhudhuria semina za ndoa
 
Bibie Kongosho asali ya ODM, hebu ambia ODM hii sredi bado ako Open au ako Klozd?

Afu pia uniambie leo ako jumangapi?
 
Last edited by a moderator:
Bibie Kongosho asali ya ODM, hebu ambia ODM hii sredi bado ako Open au ako Klozd?

Afu pia uniambie leo ako jumangapi?

Bado haijawa klozd, namsubiri mhusika
Akitia timu tu, nakulozi topik afu nakuwa offline

Dada yangu Mpendwa Kongosho, sijaunganisha matukio bali nimejaribu kukukumbusha kuwa watu wote huanguka kirahisi katika mitego mibovu hasa baada ya WEYE kumshangaa huyo Mkulima. Ni kukukumbushana tu Mpendwa wangu.

he he he he, kweli Bazazi, mie leo nimeanguka ila sijajikwaa
Naskia laa mie

Timu yako inaitwaje manchesta au aseno?
Ina kuhu? labda majimaji uloshindwa kuifungia hata bao la mkono
 
Last edited by a moderator:
When do people stop falling in love? Maana kama umeoa au kuolewa halafu ukapenda tena, si ndo mambo ya wizi mtupu? Au ni mimi tu ndo nayefikiria hivyo
 
Umeaminishwa ni wizi mtupu ili usimuumize uliye naye, imagine ingekuwa ruksa, ndoa ngapi zingeumia? Maana waweza kuta wanandoa wako out of love au hawajawahi kuwa in love kabisa ila walipeana mimba tu ikabidi wajikusanye kuanza familia.

Nachojua Love is love bana, si kitu kinakuja kirahisi in a life time, i won't lose this opportunity for anything lol

When do people stop falling in love? Maana kama umeoa au kuolewa halafu ukapenda tena, si ndo mambo ya wizi mtupu? Au ni mimi tu ndo nayefikiria hivyo
 
Kongosho, are you in a commited relationship? Anyway kila mtu ana namna anavyoyapeleka mambo. Jana nilisoma kitabu kimoja kinaelezea why women are cheating....nikajikuta nacheka tu maana, mhhh!
Well,All the best maana mtu akishaamua kubadilisha mawazo kaaaazi
 
Last edited by a moderator:

sickness beyond comprehension..... loving a ghost you hardly know.....what a joke.that is no love it is deceptive impression in your mind.................
 
Ndahani tuadithie bac kidogo na sie kwanini wanacheat!
 
Last edited by a moderator:
Ruta bana, si kila wakati wa kula unanawa, sometimes unanawa baada ya kula, got that!

Bora wewe hujasema ni pepo, maana siku hizi mtu asipokuwa na jibu anajificha kwenye mgongo wa pepo.

Hapo pekundu, ohh yeah, penzi lenyewe tu ni ugonjwa tosha, achia mbali complications zinazoletwa na penzi.

Ruta, ulishamsikiliza vizuri Avril? Chukua kipande hiki

It's a damn cold night
Trying to figure out this life
Won't you take me by the hand
Take me somewhere new
I don't know who you are
But I... I'm with you
I'm with you

sickness beyond comprehension..... loving a ghost you hardly know.....what a joke.that is no love it is deceptive impression in your mind.................
 
Ndahani tuadithie bac kidogo na sie kwanini wanacheat!

Dissatisfication from their relationships...kuna dada mmoja ni Phd holder, mke wa watoto watatu alikuwa anacheat na kababu kamoja kwenye chuo walichokuwa wanafunindisha wote for more than 10 years. Yule dada anasimulia kwamba alikaa kwenye relationship yake just because of the kids...but whenever she wanted to meet a really man, that kababu was the choice. Na kababu nacho kana familia yake yenye watoto wakubwa kama yule dada.
Kinachoniacha hoi, yule dada anakiri wazi kwamba lile buzi lake, was rude,jealosy and arrogant, but she gained alot from him than her husband. Mpaka anaandika ile relationship yake haikuwa kapuni, na wala haikuwahi kuhisiwa wala kujulikana ila she was like regretting....isipokuwa alikiri wazi kwamba kama atamuacha yule mzee,basi lazima atatafuta mtu mwingine ambaye atamfikisha pale anapotaka. Mmewe kama anavyodai, siyo mwanaume yule anayetaka awe amemzunguka....nikajiuliza kwahiyo aliataka mume awe rude and arrogant na good in bed ili atulie??? Nilichoka kabisa! Nikaamua kulala badala ya kuendelea kusoma kile kitabu maana akili iliwahi kuchoka, duuh!
 
Lavu lavu lavuuuu unaijua lavu wewe au ndoto za mchana?
Kwanza wewe ni She?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…