Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
Timu yako inaitwaje manchesta au aseno?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu yako inaitwaje manchesta au aseno?
Unanchekesha!
Source:FF.
Si bora ya ugali,kama ni msosi wewe ni makande tena ya usangi.halafu ujue we konnie wewe....halafu nenda kamsome erotica,kafungua uzi...'sex in marriage...
Kongosho si unajua mimi na mind Chemistry ya sweetness of the Fanta? ... dadavua basi.. Lol!!:israel:umeona eeh, so good.
Kama nimekunywa fanta.
Kongosho si unajua mimi na mind Chemistry ya sweetness of the Fanta? ... dadavua basi.. Lol!!:israel:
Bibie Kongosho asali ya ODM, hebu ambia ODM hii sredi bado ako Open au ako Klozd?
Afu pia uniambie leo ako jumangapi?
Dada yangu Mpendwa Kongosho, sijaunganisha matukio bali nimejaribu kukukumbusha kuwa watu wote huanguka kirahisi katika mitego mibovu hasa baada ya WEYE kumshangaa huyo Mkulima. Ni kukukumbushana tu Mpendwa wangu.
Ina kuhu? labda majimaji uloshindwa kuifungia hata bao la mkonoTimu yako inaitwaje manchesta au aseno?
When do people stop falling in love? Maana kama umeoa au kuolewa halafu ukapenda tena, si ndo mambo ya wizi mtupu? Au ni mimi tu ndo nayefikiria hivyo
Umeaminishwa ni wizi mtupu ili usimuumize uliye naye, imagine ingekuwa ruksa, ndoa ngapi zingeumia? Maana waweza kuta wanandoa wako out of love au hawajawahi kuwa in love kabisa ila walipeana mimba tu ikabidi wajikusanye kuanza familia.
Nachojua Love is love bana, si kitu kinakuja kirahisi in a life time, i won't lose this opportunity for anything lol
ila sijajua na nani
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi
hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol
ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?Last edited by Kongosho; Yesterday at 22:21.
Ndahani tuadithie bac kidogo na sie kwanini wanacheat!Kongosho, are you in a commited relationship? Anyway kila mtu ana namna anavyoyapeleka mambo. Jana nilisoma kitabu kimoja kinaelezea why women are cheating....nikajikuta nacheka tu maana, mhhh! Well,All the best maana mtu akishaamua kubadilisha mawazo kaaaazi
sickness beyond comprehension..... loving a ghost you hardly know.....what a joke.that is no love it is deceptive impression in your mind.................
Ndahani tuadithie bac kidogo na sie kwanini wanacheat!
Lakini Kongosho kasema ni mke wa mtu...ni wewe?wamesha sema ni mwanamke, lazma itakua mimi. 🙂
Lavu lavu lavuuuu unaijua lavu wewe au ndoto za mchana?Umeaminishwa ni wizi mtupu ili usimuumize uliye naye, imagine ingekuwa ruksa, ndoa ngapi zingeumia? Maana waweza kuta wanandoa wako out of love au hawajawahi kuwa in love kabisa ila walipeana mimba tu ikabidi wajikusanye kuanza familia.
Nachojua Love is love bana, si kitu kinakuja kirahisi in a life time, i won't lose this opportunity for anything lol