Konnie sa ingine unakuwaga na akili nyingi sana,kula five kwa post yako hii,Ruta umemjibu vyema kabisa.Ruta bana, si kila wakati wa kula unanawa, sometimes unanawa baada ya kula, got that!
Bora wewe hujasema ni pepo, maana siku hizi mtu asipokuwa na jibu anajificha kwenye mgongo wa pepo.
Hapo pekundu, ohh yeah, penzi lenyewe tu ni ugonjwa tosha, achia mbali complications zinazoletwa na penzi.
Ruta, ulishamsikiliza vizuri Avril? Chukua kipande hiki
It's a damn cold night
Trying to figure out this life
Won't you take me by the hand
Take me somewhere new
I don't know who you are
But I... I'm with you
I'm with you
Ruta bana, si kila wakati wa kula unanawa, sometimes unanawa baada ya kula, got that!
Bora wewe hujasema ni pepo, maana siku hizi mtu asipokuwa na jibu anajificha kwenye mgongo wa pepo.
Hapo pekundu, ohh yeah, penzi lenyewe tu ni ugonjwa tosha, achia mbali complications zinazoletwa na penzi.
Ruta, ulishamsikiliza vizuri Avril? Chukua kipande hiki
It's a damn cold night
Trying to figure out this life
Won't you take me by the hand
Take me somewhere new
I don't know who you are
But I... I'm with you
I'm with you
Hujambo lakn ?kumbe una asali humu siku hiziii??kweli nimekuwa mgeni..Bibie Kongosho asali ya ODM, hebu ambia ODM hii sredi bado ako Open au ako Klozd?
Afu pia uniambie leo ako jumangapi?
Hahahahaha, mi nilitaka upitie tajiri wetu...You know what I mean, (blushing, blushing)
am so taken Mwali, so taken.
Usijali na wewe ntakuonjesha kwa kumwita patina wetu.
Kongosho, Nilijua huna guts ya kusema .... hiyo sweetness like the fanta unaisikia wapi haswa ... lakini looh au through Intuition nini? ..hah haha! Maana kama sio gravity must be Intuition ... yaah Intuitionally falling in Love!! si unaona hayo maneno mawaili IN + TUITION alafu sasa ona IN + LOVE ...!! i swear dadavua alaf tunapaa zetu ndani ya chombo!!Nachojua "Gravitational is not responsible for people falling in love" Albert Einstein
Kwa leo, am not responsible for this, it just happened lol Ukinipa lift kwenye hicho chombo nitakudadavulia
Hivi alisema huyo kaolewa eh?Lakini Kongosho kasema ni mke wa mtu...ni wewe?
Kongosho! Nisidieni kwani penzi la hawara linataka kuvunja ndoa yangu. Mbaya zaidi nimenasa na kuitoa mimba yake ingawa tuligombana sana kwani hana mtoto na alitaka tuzae wote. Nilipata shida sana ili mume wangu asijue kama nina mimba. Ninasikitika stki kuDU na Mr kwani nahisi kama ninacheat kwa KUDUMU changu.
Hapa sijui imekaaje? Nisaidieni
aisee...Kongosho! Nisidieni kwani penzi la hawara linataka kuvunja ndoa yangu. Mbaya zaidi nimenasa na kuitoa mimba yake ingawa tuligombana sana kwani hana mtoto na alitaka tuzae wote. Nilipata shida sana ili mume wangu asijue kama nina mimba. Ninasikitika stki kuDU na Mr kwani nahisi kama ninacheat kwa KUDUMU changu.
Hapa sijui imekaaje? Nisaidieni
Kongosho hii sasa ni pasua kichwa kabisa.................[MENTION]Avril[/MENTION] anachosema hakiingii akilini kama sikufahamu mie sikufahamu tu hakuna cha take me in a new place though I do not know you............he could be a serial killer or a rapist you are dealing with....................love is for those who knw each other thoroughly well
Kongosho, are you in a commited relationship? Anyway kila mtu ana namna anavyoyapeleka mambo. Jana nilisoma kitabu kimoja kinaelezea why women are cheating....nikajikuta nacheka tu maana, mhhh!
Well,All the best maana mtu akishaamua kubadilisha mawazo kaaaazi
Lakini Kongosho kasema ni mke wa mtu...ni wewe?
Lavu lavu lavuuuu unaijua lavu wewe au ndoto za mchana?
Kwanza wewe ni She?
Kongosho wewe mwenyewe huwa unapenda
Nikipitia post zako kadhaa ha ha huwa una confess
Sasa kwa nini unamshangaa mwenzio badala ya kumpa ushauri wa kuyashinda majaribu.
Zion Daughter, usiogope sasa nimeshakuwa ndimu ya ODM si asali tenaHujambo lakn ?kumbe una asali humu siku hiziii??kweli nimekuwa mgeni..
Mwali, are you with me or against me? Haujali how I feel?Hahahahaha, mi nilitaka upitie tajiri wetu...
Kongosho, Nilijua huna guts ya kusema .... hiyo sweetness like the fanta unaisikia wapi haswa ... lakini looh au through Intuition nini? ..hah haha! Maana kama sio gravity must be Intuition ... yaah Intuitionally falling in Love!! si unaona hayo maneno mawaili IN + TUITION alafu sasa ona IN + LOVE ...!! i swear dadavua alaf tunapaa zetu ndani ya chombo!!
Hivi alisema huyo kaolewa eh?
Basi sio mimi... hamna tabu.
patiently waiting for my turn.
I am wth you all the way Kongosho wanguMwali, are you with me or against me? Haujali how I feel?
Maybe that is "the one". Go Konnie, Gooooo :cheer2:Nilikuwa nazuga tu kuwapoteza, hajaolewa wala nini.
Zion Daughter, usiogope sasa nimeshakuwa ndimu ya ODM si asali tena
Aliniacha akisema kakurudia wewe.
.
I am wth you all the way Kongosho wangu
I am so happy for you, hatimae umeonja ladha ya mapenzi
Naomba basi uniachie makoloni yako ya zamani na ya sasa
nikae nikikumilikia hadi pale utakapo amua kurudi (or not)
Hasa yule tajiri wako yuleeee, naona he is interested pia.
Maybe that is "the one". Go Konnie, Gooooo :cheer2:
Hilo neno kuogopa kwangu ni msamiati my dear.Lakn haya mambo ya kupokezana kama ulabu mie siyawezi....