Am in love . . .

Am in love . . .

Ruta bana, si kila wakati wa kula unanawa, sometimes unanawa baada ya kula, got that!

Bora wewe hujasema ni pepo, maana siku hizi mtu asipokuwa na jibu anajificha kwenye mgongo wa pepo.

Hapo pekundu, ohh yeah, penzi lenyewe tu ni ugonjwa tosha, achia mbali complications zinazoletwa na penzi.

Ruta, ulishamsikiliza vizuri Avril? Chukua kipande hiki

It's a damn cold night
Trying to figure out this life
Won't you take me by the hand
Take me somewhere new
I don't know who you are
But I... I'm with you
I'm with you
Konnie sa ingine unakuwaga na akili nyingi sana,kula five kwa post yako hii,Ruta umemjibu vyema kabisa.
 
Ruta bana, si kila wakati wa kula unanawa, sometimes unanawa baada ya kula, got that!

Bora wewe hujasema ni pepo, maana siku hizi mtu asipokuwa na jibu anajificha kwenye mgongo wa pepo.

Hapo pekundu, ohh yeah, penzi lenyewe tu ni ugonjwa tosha, achia mbali complications zinazoletwa na penzi.

Ruta, ulishamsikiliza vizuri Avril? Chukua kipande hiki

It's a damn cold night
Trying to figure out this life
Won't you take me by the hand
Take me somewhere new
I don't know who you are
But I... I'm with you
I'm with you

Kongosho hii sasa ni pasua kichwa kabisa.................[MENTION]Avril[/MENTION] anachosema hakiingii akilini kama sikufahamu mie sikufahamu tu hakuna cha take me in a new place though I do not know you............he could be a serial killer or a rapist you are dealing with....................love is for those who knw each other thoroughly well
 
Last edited by a moderator:
Kongosho wewe mwenyewe huwa unapenda
Nikipitia post zako kadhaa ha ha huwa una confess
Sasa kwa nini unamshangaa mwenzio badala ya kumpa ushauri wa kuyashinda majaribu.
 
Nachojua "Gravitational is not responsible for people falling in love" Albert Einstein

Kwa leo, am not responsible for this, it just happened lol Ukinipa lift kwenye hicho chombo nitakudadavulia
Kongosho, Nilijua huna guts ya kusema .... hiyo sweetness like the fanta unaisikia wapi haswa ... lakini looh au through Intuition nini? ..hah haha! Maana kama sio gravity must be Intuition ... yaah Intuitionally falling in Love!! si unaona hayo maneno mawaili IN + TUITION alafu sasa ona IN + LOVE ...!! i swear dadavua alaf tunapaa zetu ndani ya chombo!!
 
Last edited by a moderator:
Kongosho! Nisidieni kwani penzi la hawara linataka kuvunja ndoa yangu. Mbaya zaidi nimenasa na kuitoa mimba yake ingawa tuligombana sana kwani hana mtoto na alitaka tuzae wote. Nilipata shida sana ili mume wangu asijue kama nina mimba. Ninasikitika stki kuDU na Mr kwani nahisi kama ninacheat kwa KUDUMU changu.

Hapa sijui imekaaje? Nisaidieni

Duh! ndoa hizi kazi kweli!!!!
 
aisee...
 
u can fall for anyone, rapist au serial killer nao ni watu.

Hujasoma novel ya pirate love' Johanna Lindsey?

Kongosho hii sasa ni pasua kichwa kabisa.................[MENTION]Avril[/MENTION] anachosema hakiingii akilini kama sikufahamu mie sikufahamu tu hakuna cha take me in a new place though I do not know you............he could be a serial killer or a rapist you are dealing with....................love is for those who knw each other thoroughly well
 
Last edited by a moderator:
Kongosho, are you in a commited relationship? Anyway kila mtu ana namna anavyoyapeleka mambo. Jana nilisoma kitabu kimoja kinaelezea why women are cheating....nikajikuta nacheka tu maana, mhhh!
Well,All the best maana mtu akishaamua kubadilisha mawazo kaaaazi

Am commited to this New Found Love, the rest are details.

Lakini Kongosho kasema ni mke wa mtu...ni wewe?

Siku hizi hata nyumba ndogo zinajiita mke wa mtu, love conquers all!

Lavu lavu lavuuuu unaijua lavu wewe au ndoto za mchana?
Kwanza wewe ni She?

Kwani wewe ni He?

Kongosho wewe mwenyewe huwa unapenda
Nikipitia post zako kadhaa ha ha huwa una confess
Sasa kwa nini unamshangaa mwenzio badala ya kumpa ushauri wa kuyashinda majaribu.

Sijamshangaa, namsapoti kufall deeply in love.
Bora kuwa shallow baharini kuliko kuwa deep kwenye kisoda

Hujambo lakn ?kumbe una asali humu siku hiziii??kweli nimekuwa mgeni..
Zion Daughter, usiogope sasa nimeshakuwa ndimu ya ODM si asali tena
Aliniacha akisema kakurudia wewe.

Hahahahaha, mi nilitaka upitie tajiri wetu...
Mwali, are you with me or against me? Haujali how I feel?

Kongosho, Nilijua huna guts ya kusema .... hiyo sweetness like the fanta unaisikia wapi haswa ... lakini looh au through Intuition nini? ..hah haha! Maana kama sio gravity must be Intuition ... yaah Intuitionally falling in Love!! si unaona hayo maneno mawaili IN + TUITION alafu sasa ona IN + LOVE ...!! i swear dadavua alaf tunapaa zetu ndani ya chombo!!

Ujue Love = Madness of people.
But remember what Newton said,
“I can calculate the motions of heavenly bodies, but not the madness of people.”- Sir Isaac Newton

Hivi alisema huyo kaolewa eh?
Basi sio mimi... hamna tabu.
patiently waiting for my turn.

Nilikuwa nazuga tu kuwapoteza, hajaolewa wala nini.
 
Last edited by a moderator:
Mwali, are you with me or against me? Haujali how I feel?
I am wth you all the way Kongosho wangu
I am so happy for you, hatimae umeonja ladha ya mapenzi
Naomba basi uniachie makoloni yako ya zamani na ya sasa
nikae nikikumilikia hadi pale utakapo amua kurudi (or not)
Hasa yule tajiri wako yuleeee, naona he is interested pia.

Nilikuwa nazuga tu kuwapoteza, hajaolewa wala nini.
Maybe that is "the one". Go Konnie, Gooooo :cheer2:
 
Last edited by a moderator:
He he he he (Blushing, blushing)
You are very brave! The rest are details.

I am wth you all the way Kongosho wangu
I am so happy for you, hatimae umeonja ladha ya mapenzi
Naomba basi uniachie makoloni yako ya zamani na ya sasa
nikae nikikumilikia hadi pale utakapo amua kurudi (or not)
Hasa yule tajiri wako yuleeee, naona he is interested pia.

Maybe that is "the one". Go Konnie, Gooooo :cheer2:
 
Siku hizi hata nyumba ndogo zinajiita mke wa mtu, love conquers all!

Nilikuwa nazuga tu kuwapoteza, hajaolewa wala nini.
Ikiwaa ni hiyo red, Mwali hahusiki kabisa, ikiwa ni hiyo blue, anaweza kuwa ni yeye.
Kumbuka, yeye ni mwali.
 
teh teh teh, Mwali, njoo nikupe siri ya kumfukuza Erotica kwa kibabu EMT.

Naona wamefuga uzi wetu kule.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom