Utata woote umeishia kwa Konny pumbAFU kabisa lihommie langu tulikuwa tunamtegemea kijiji kizima, ona alivyopotezwa
Hivi Konnie ulitabiriwa na TB joshua kukutana na ODM? LOL
hebu atoke kwen huu uzi 'tuzoze'... (If u cant love me now....)
Ha ha ha ha ha, sometimes bana
Hata Zion Dota hajielewi.
He he he he, nilitabiriwa na T.D Jakes kukutana na 'this dude" 🙂
ODM mzee wa kuuma majani na kukuna kichwa tu
Akiniona ananiambia, ujue mie Kimara nina shamba la nguruwe
Mara najua Equation ya chemistry
Kazubaa hadi this new person kanichukua
Nyanbaf zangu mwenyewe
Hapo hapo tu! Yaani wewe kweli Konnie ukahangaike na maviti moto kwen pikapu? Mjini akili nguvu kijijini
He he he he, umejuaje kama new person anatanipeleka kwenye makitimoto yake na pikapu?
Je kama anamiliki 'Buzwagi" mbili?
Hapo bluu umenivunja mbavu lol
Zayoni ndio muasisi wa wana-uamsho
Sio sijielewi sista/brother.....am in love..BTW hivi Ashadii yupo wapi jamani?mbona kimya..eti kaizer nambie...Ha ha ha ha ha, sometimes banaHata Zion Dota hajielewi.
Na mmeamka kweli, mmemwamkia ODM hana pa kutorokea, si unajua tena Ng'ombe mhangaikaji marejeo yake zizini....jioniiiiiiiiii
Sio sijielewi sista/brother.....am in love..BTW hivi Ashadii yupo wapi jamani?mbona kimya..eti kaizer nambie...
Huyu hommie wako naye, wajukuu wote anakagua
Hajua hata zizi lake ni lipi
Huyu huyu ODM, au na wewe umeamua kung'atuka kama mie?
Khaa!
Yaani kutoka hapa kwa dakika tano tu tayari mmeshanichakachua namna hii?
Wote Zion Daughter mchumba wa ODM na Kongosho asali ya ODM nawaambieni hiviiiii: ODM hajui kuacha wala kuachwa. Nyie ni mali zangu halali na mmethibitiswa na mna mihuri TBS
Hommie Kaizer, please note.
Afu hebu niambieni leo ni jumangapi jamani?
ila sijajua na nani
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi
hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol
ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?
shemeji upo fasta balaa.Msalimie sana kwani nimemmisi sana...Wote apo juu, Zion Daughter na Kongosho, Hakuna aliyeng'atuka
ZD, AshaDii yupo my dear, amepumzika tena si unajua ndoa lazima iwepo na matunda:clap2:
Kongosho,Asprin,&Kaizer.....TUKO WANGAPI???(Kwa hisani ya watu wa Marekani)