Am in love . . .

Am in love . . .

Utata woote umeishia kwa Konny pumbAFU kabisa lihommie langu tulikuwa tunamtegemea kijiji kizima, ona alivyopotezwa

Hivi Konnie ulitabiriwa na TB joshua kukutana na ODM? LOL

hebu atoke kwen huu uzi 'tuzoze'... (If u cant love me now....)

He he he he, nilitabiriwa na T.D Jakes kukutana na 'this dude" 🙂

ODM mzee wa kuuma majani na kukuna kichwa tu
Akiniona ananiambia, ujue mie Kimara nina shamba la nguruwe
Mara najua Equation ya chemistry

Kazubaa hadi this new person kanichukua
Nyanbaf zangu mwenyewe
 
Hapo hapo tu! Yaani wewe kweli Konnie ukahangaike na maviti moto kwen pikapu? Mjini akili nguvu kijijini
 
He he he he, umejuaje kama new person anatanipeleka kwenye makitimoto yake na pikapu?
Je kama anamiliki 'Buzwagi" mbili?

Hapo bluu umenivunja mbavu lol

Mi najua tu, have been there...lol

HApo Red ujue Atakuwa pia na SMG na bastola, na hapo usifikiri kuwa utabaki salama Kongosho, hakika nakuambia heri nusu shari kuliko shari kamili

sasa Asprin tunambid farewell lini lol
 
Last edited by a moderator:
Thubutu, hakuna cha farewell wala fareriver

Ukiage kidumu siku unakiu uende wapi?

Kidumu hakiagwi na wala hakuna kuachana lol

Nitafanya uchunguzi wa mapikapu kama kweli ?????? Stay tuned!!!!

Mi najua tu, have been there...lol

HApo Red ujue Atakuwa pia na SMG na bastola, na hapo usifikiri kuwa utabaki salama Kongosho, hakika nakuambia heri nusu shari kuliko shari kamili

sasa Asprin tunambid farewell lini lol
 
Na mmeamka kweli, mmemwamkia ODM hana pa kutorokea, si unajua tena Ng'ombe mhangaikaji marejeo yake zizini....jioniiiiiiiiii

Huyu hommie wako naye, wajukuu wote anakagua
Hajua hata zizi lake ni lipi

Sio sijielewi sista/brother.....am in love..BTW hivi Ashadii yupo wapi jamani?mbona kimya..eti kaizer nambie...

Huyu huyu ODM, au na wewe umeamua kung'atuka kama mie?
 
Khaa!

Yaani kutoka hapa kwa dakika tano tu tayari mmeshanichakachua namna hii?

Wote Zion Daughter mchumba wa ODM na Kongosho asali ya ODM nawaambieni hiviiiii: ODM hajui kuacha wala kuachwa. Nyie ni mali zangu halali na mmethibitiswa na mna mihuri TBS

Hommie Kaizer, please note.

Afu hebu niambieni leo ni jumangapi jamani?
 
Last edited by a moderator:
He he he he he, ngoja mwenyewe aone
Leo tindikali itahusu hapa.

Khaa!

Yaani kutoka hapa kwa dakika tano tu tayari mmeshanichakachua namna hii?

Wote Zion Daughter mchumba wa ODM na Kongosho asali ya ODM nawaambieni hiviiiii: ODM hajui kuacha wala kuachwa. Nyie ni mali zangu halali na mmethibitiswa na mna mihuri TBS

Hommie Kaizer, please note.

Afu hebu niambieni leo ni jumangapi jamani?
 
ila sijajua na nani
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi

hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol

ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?

Kwani ukishaolewa unaweza kuufungia moyo wako seng'enge?
 
Back
Top Bottom