denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Mpaka nakuonea huruma kabinti ka watu. Mara mia angeishia kisema nasoma ifm. Huko (fb, insta nk) alipowafungulia geti, atajuta kuwafahamuha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka nakuonea huruma kabinti ka watu. Mara mia angeishia kisema nasoma ifm. Huko (fb, insta nk) alipowafungulia geti, atajuta kuwafahamuha ha
kwa kweli atajuta labda awe low profile sana humu jfMpaka nakuonea huruma kabinti ka watu. Mara mia angeishia kisema nasoma ifm. Huko (fb, insta nk) alipowafungulia geti, atajuta kuwafahamu
Keshaona hiyo,Bora moyo usite hivyo hovyo,ila kisu umekiona??[emoji6][emoji6]
Wangu yuko mtaa wa kwetu uitwao like.Mchina mweusi,karibisha mgeni basi
[emoji15] [emoji23] [emoji3] [emoji144][emoji23] [emoji23] [emoji23] mshana utamtisha Mdogo wangu na Tunguli zako
Mshauri afungue akaunti nyingine, hii atemane nayo.kwa kweli atajuta labda awe low profile sana humu jf
We ni wa wapi uko kwa malaika waso na kasoro?Siwapendi watu wa kagera, Wanyambo wambea Hatari. Wahaya Wana rohombaya kishenzi Afadhali wanyaruwanda, wazuri na tabia zao nzuri, wahaya mnajidai mpojuu kishenzi alafu Malaya tu.
mmh hapanaMshauri afungue akaunti nyingine, hii atemane nayo.
Ina lipiwa wapi na how much ?karibu sana. umeshalipia fomu?
Tehehehe kwanini?mmh hapana
miss bado upokwa kweli atajuta labda awe low profile sana humu jf
wameshamshauri wengineTehehehe kwanini?
Ushauri wa kishambaMshauri afungue akaunti nyingine, hii atemane nayo.
Nipo nitakuwa napita mtaani kwenu kule kuja wasalimuSafi
Umepotea sanaa
Uzi wa mgeni huu mshauanzishia zogoUpo mrembo
Sawa mkuu, endeleeni ninyi kumpa wa kijanja.Ushauri wa kishamba