Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Ukiwa humu JF jaribu kuwa mzito sana kukutana na mtu unayefahamiana naye humu tena akiwa na ID fake hasa kama wewe topic zako zinagusa mahali pasipoguswa au unaandika kinyume na sheria ya mtandao. Unadhani watawapataje wabwatukaji kama hawatatumia njia za kitaalamu za kuwaletea humu mabinti wakali ili mchanganyikiwe na kujitoa ufahamu kwenda kukutana nao. Tuwe makini sana vijana na haya mambo ya kupapatikia watu huku JF
 
Sijachelewa,karib sana Anna naomba kuwa rafiki yako wa kukuonye njia humu ndani.Vipi bado upo siliidi
 
Mafisi Sacco Kazi Ni Kwenu.
TEAM MAFISI Sema TIBIM!!
 
Karibu sana JF mkuu Anna Maria Buberwa,

Asante kwa kujiunga nasi.

Ili kutumia huduma zetu, mwanachama anayejisajili ana nafasi ya kuchagua aina mbili za ushiriki;

1. Anonymity (kutumia jina lisilo halisi kwa ajili ya kulinda faragha)
2. Verification (kutumia jina halisi/utambulisho rasmi).

Kwa kuwa umejisajili kwa jina unalodai ni lako halisi, huna budi kuthibitisha ID yako.

Ili kuthibitishwa: Tunaomba ututumie copy ya kitambulisho au nyaraka yoyote inayotambulika kisheria (Passport, Leseni, Kitambulisho cha Taifa au cha Mpigakura n.k.) kwenda support@jamiiforums.com

NB: Tutakuwekea alama ya kuonyesha uthibitisho itakayosomoka 'verified user' kwenye username yako.

Karibu sana.
 
Huu uzi jana ulisitishwa kwa muda, nikajua umefungwa. Kumbe bado unaendelea. Ngoja bibie aendelee kukaribishwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
Karibu sana Anna Maria Buberwa

Vipi umekaguliwa kweli kama unafaa kwa matumizi ya Jamiiforums(Jf)hasa katika jukwaa pendwa la MAPENZI, MAHUSIANO NA URAFI(MMU)??
 
Sawa kyoma wabigamba bojo
 
Karibu mgeni Ila huku sio fb ,mambo ya jina lote hadi la ukoi sio vizur, pia mtaa haitakiwi ,utakuta baba yako nae yupo humu anajiita hummer, KO atakufatilia kwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…