Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Anna usisikilize maneno ya hawa vibibi wakongwe wa humu.usiweke picha tena watakusumbua hawa mabazazi ...
msinichambe jamani namkunga mdogo wangu kabla hamjamvuruga
Nah[emoji4] ,mimi PM nayotembeleaga ni yako tuNina wasiwasi, pengine ni wewe
Bora mods wameufuta ule uzi aiseeAlikuja mara moja hakurudi, leo ndo kaibuka tena.
sasa ogea ulale[emoji23][emoji16]huezi amini nimesahau. Nilitokwa povu tu kule
maltipo aidzAlikuja mara moja hakurudi, leo ndo kaibuka tena.
MamboNina wasiwasi, pengine ni wewe
Hata usingizi hauwezi kuja bado nilitaka nimchane zaidi tatizo mods wamefuta uzi[emoji4]sasa ogea ulale[emoji23]
alikiuka mkataba tena ban inamhusuHata usingizi hauwezi kuja bado nilitaka nimchane zaidi tatizo mods wamefuta uzi[emoji4]
alikiuka mkataba tena ban inamhusu
Bora wampige tu ban yule dogo .akasome Necta imekaribiaalikiuka mkataba tena ban inamhusu
waacheni, utajuaje watu wazima wasipokuwepo wadogo?Bora wampige tu ban yule dogo .akasome Necta imekaribia
[emoji23]aisee sana mkuu.watu walikimbilia ku tag modswaacheni, utajuaje watu wazima wasipokuwepo wadogo?
hata hivyo alichangamsha jukwaa siku alipofungua uzi
Teh Teh Teh ndugu yangu umepata pa kuitumia tenaKwenye zile PM ulizoandika kulikuwa na yangu moja, naomba iweke hapa ile mistari niitumie kwingine, maana wameifuta kabla sijacopy.
Nilishasahau mistari yangu ile ya ushindi.
Teh Teh Teh ndugu yangu umepata pa kuitumia tena