Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Anna usisikilize maneno ya hawa vibibi wakongwe wa humu.usiweke picha tena watakusumbua hawa mabazazi ...
msinichambe jamani namkunga mdogo wangu kabla hamjamvuruga
Wameshakua ajuza ndo maana wanaogopa kuweka picha zao.
Wanaonea wivu urembo wako na wanaona uta take over uwazidi.
Weka picha yako halisi usi fake life kwa kuweka avatar za wanawake wengine..
Anyway, kila siku za kazi napita hapo oystabei kwenda macho pale nafanya kazi hapo. Naweza kukupitia siku moja jioni tupate dinner kidogo Anna Maria Buberwa?