karibu Anna!!!Yes miss
Karibu sana. Oysterbay mtaa gani unaweza kuwa jirani yangu...🙂🙂Hallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,
Thanks
nahama uswazi soon shogaahaya bana ila wengi hey mama
Welcome on board Anna Maria Buberwa. Hopeful you related to my classmate Deusdedit Buberwa. With your last name you did not need to mention where you clan come fromHallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,
Thanks
Owk kwahiyo niitoe?usiweke picha tena watakusumbua hawa mabazazi ...
msinichambe jamani namkunga mdogo wangu kabla hamjamvuruga
Mwambie atoe picha na jina lake halisis alitoe. Start a new ID and abandon that or get it changed. Humu kuna vichaa wengi, ujinga , utoto. Kuna watu tunawajua kwa majina , wakubwa lakini wanafanya ujinga mtupu humu .usiweke picha tena watakusumbua hawa mabazazi ...
msinichambe jamani namkunga mdogo wangu kabla hamjamvuruga
usiweke picha tena watakusumbua hawa mabazazi ...
msinichambe jamani namkunga mdogo wangu kabla hamjamvuruga
No , they are so many Buberwa's simjui huyoWelcome on board Anna Maria Buberwa. Hopeful you related to my classmate Deusdedit Buberwa. With your last name you did not need to mention where you clan come from
anna maria SOMA HAPAMwambie atoe picha na jina lake halisis alitoe. Start a new ID and abandon that or get it changed. Humu kuna vichaa wengi, ujinga , utoto. Kuna watu tunawajua kwa majina , wakubwa lakini wanafanya ujinga mtupu humu .
OK thanksHello Anna,u're welcome
My name is Dr John garang
Toa picha yako, humu kuan vitu vya ajabu, watu wa ajabu. Jina halisi halifai humu. Majina yote ya humu ni fake, very few ni majina halisiOwk kwahiyo niitoe?
unajua wivu upo kweli unajua unapozeeka unaona vitoto vinakuja kwa kasi tena visu hasa lazima kawivu kapite moyoniAcha wivu
OwBuberwa kama jina lako halisis abandone this. Humu kunafaa anonymity!
Karibu wa nyumbani na jirani.