Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Hallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,

Thanks
Welcome on board Anna Maria Buberwa. Hopeful you related to my classmate Deusdedit Buberwa. With your last name you did not need to mention where you clan come from
 
usiweke picha tena watakusumbua hawa mabazazi ...

msinichambe jamani namkunga mdogo wangu kabla hamjamvuruga
Mwambie atoe picha na jina lake halisis alitoe. Start a new ID and abandon that or get it changed. Humu kuna vichaa wengi, ujinga , utoto. Kuna watu tunawajua kwa majina , wakubwa lakini wanafanya ujinga mtupu humu .
 
Najaribu kuwaza tu "wale wasiojulikana wana mbinu nyingi sana,usije kuta huu ulimbo ni kwa ajili ya kunaswa Daby au yule Mshana na theory zake Ujasusi"

Karibu mrembo,nyumbani bukoba wananiita Mutashobya
 
Back
Top Bottom