Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Najaribu kuwaza tu "wale wasiojulikana wana mbinu nyingi sana,usije kuta huu ulimbo ni kwa ajili ya kunaswa Daby au yule Mshana na theory zake Ujasusi"

Karibu mrembo,nyumbani bukoba wananiita Mutashobya
Sijakuelewa
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] hyo pia inawezekana mkuu,urimbo ukawakamata watu
 
usiweke picha tena watakusumbua hawa mabazazi ...

msinichambe jamani namkunga mdogo wangu kabla hamjamvuruga
Kwani amesema hataki usumbufu dada?
Je wajua sababu ya kujitambulisha?
 
naona mhaya mwingine ashakurupuka humu dah haya karibu mrembo!
 
eee kwakwweeriii..
mama koku anna yupo onrine...
 
Back
Top Bottom