miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
si kwa mshushu haya najutaHahahaaa...Amekwambia hataki usumbufu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kwa mshushu haya najutaHahahaaa...Amekwambia hataki usumbufu?
Ukizaliwa Dar makalio yanapotea? Mh, hapo Nadhani makalio yanakuwa genetically determined , siyo location/place of birth ingawa kuna environmental modification on gene expression! Umeniacha hoi! Je wenzangu wachaga si ndio kuzidi au wasemajenilifanya naye kazi ila nilikuwa sijui kama ametokea bukoba kuja dar yule anaonekana kazaliwa dar sababu hana makalio
zitakuja nyingi.....You sent text? I can see 12 messages but I will reply later am quite busy
naomba mkamcomfirmHizi ni Swagga za kina Hussna The Boss Lady.
Mpaka confirmation ifanyike ndo unaweza kuamini kwamba huyu ni wa kike.
imagine mimi nimemzidi kalioUkizaliwa Dar makalio yanapotea? Mh, hapo Nadhani makalio yanakuwa genetically determined , siyo location/place of birth ingawa kuna environmental modification on gene expression! Umeniacha hoi! Je wenzangu wachaga si ndio kuzidi au wasemaje
Kiingereza kingiiii kuliko hata wanafamilia wa malkia...ooh from BK living Obey yote ya kazi gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waache watani zangu.
Yeszitakuja nyingi.....
Ilikuwa hatari nakwambia,tulikuwa shule nyakati hizo,we watu wa Bukoba walikoma kwa kutaniwa.I come to Bukoba,,,,ikaja wakati fulani jamaa anaoa kuna binti mmoja alkampelekea kadi zile za pongezi zipelekwazo wakati wa zawadi,dah, mchaga mmoja naye akaandika" from to me"swali nikajiuliza,wahaya na wachaga wana undugu?I come to bukoba haha
Kuja hukuuukwenda huko
natamani nikuone!imagine mimi nimemzidi kalio
Kingereza si lugha tu kama kihaya au kisukuma? Kwani tatizo liko wapi?Kiingereza kingiiii kuliko hata wanafamilia wa malkia...ooh from BK living Obey yote ya kazi gani?
We ni muhaya? Baliba bakubonankaaKuja hukuuu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]mhh ya leo kali,within three hours tutakuwa tushajua ukoo na maisha yako yote,ngoja tuendelee kusubiri..
Humu ni kama baharini tu, wema na wabaya wote wamo. So far jf imenikutanisha na soo good people, yaani watu wa faida. Na sijutii kufahamiana nao.Hata me imenisaidia sana mkuu japo wabaya wapo pia
kwa mhaya yana maana kubwaKiingereza kingiiii kuliko hata wanafamilia wa malkia...ooh from BK living Obey yote ya kazi gani?
Hahahaaa! Unauliza hilo kwa wahaya!!!!Kiingereza kingiiii kuliko hata wanafamilia wa malkia...ooh from BK living Obey yote ya kazi gani?
Kama now tukikutana kwenye majukwaa mengine tutakuwa tunafahamiana dada...which is good sana,kwenye kizuri kibaya hakikosekaniHata me imenisaidia sana mkuu japo wabaya wapo pia
mradi uvumilie ya hapa
naomba mkamcomfirm