Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Ni lugha official ya kihaya right?Kingereza si lugha tu kama kihaya au kisukuma? Kwani tatizo liko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lugha official ya kihaya right?Kingereza si lugha tu kama kihaya au kisukuma? Kwani tatizo liko wapi?
My miss chagga..... Laazizi wangu upoookaribu sana anna maria .... hiyo picha ni wewe?
Ego waituWe ni muhaya? Baliba bakubonankaa
sureMy friend, this isn't facebook,
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Acha uoga mkuuMbinu mpya ya kuwapata waropokaji wa JF na watumia ID fake imeandaliwa kwa umakini mkubwa, yaani kwasasa hakuna sababu ya kumganda ndg Mello aseme BAK ni nani au Cocochannel ni nani maana watu wasiojulikana tena mabinti wakali wameandaliwa wa kutosha kuja kuwakamatisha humu. Siku mnakutana cjui Mango Garden ndiyo siku watu wasiojulikana watakujua wewe unayejifanya hujulikani. Kamuulizeni DC mnyeti alichofanyiwa na watu wasiojulikana waliotumwa na ndg Aanayejulikana kama dogo janja.
dah! hatariMbinu mpya ya kuwapata waropokaji wa JF na watumia ID fake imeandaliwa kwa umakini mkubwa, yaani kwasasa hakuna sababu ya kumganda ndg Mello aseme BAK ni nani au Cocochannel ni nani maana watu wasiojulikana tena mabinti wakali wameandaliwa wa kutosha kuja kuwakamatisha humu. Siku mnakutana cjui Mango Garden ndiyo siku watu wasiojulikana watakujua wewe unayejifanya hujulikani. Kamuulizeni DC mnyeti alichofanyiwa na watu wasiojulikana waliotumwa na ndg Aanayejulikana kama dogo janja.
Unajua hili wimbi la watu wazima kupotea potea na kuzama baharini limesababisha watu hatuaminiani kabisa. Nitakucheki Face bookHapana usalama wa nini sasa?
Nenda Twitter utaniona,
Facebook natumia Anna Marie Buberwa
Nenda St Anthony utaona taarifa zangu hapo
Nenda IFM pia utakuta taarifa zanguu
Hakuna uwezekano huo...umejipa promo acha wakufungukie...Je kuna uwezekano wa kufunga inbox ? Anayejua anielekeze
Tibalibabambona,wakula kubi tiwakutailem etaarifa zawe mubashara.We ni muhaya? Baliba bakubonankaa
nipo baby najaribu kulinda kitumbua changu huku ,, umekuja kufanya nini hapa bwana?My miss chagga..... Laazizi wangu upooo
Yes kihaya no official nenda bukoba uone maofisin wanatumia sana hizo lughaNi lugha official ya kihaya right?
upo ila nikisema nitagombezwa tena mdogo wanguJe kuna uwezekano wa kufunga inbox ? Anayejua anielekeze
Mbwenu inye naba ntaikumanya. Aliwo kabiki? Tinkushubira kujuma muntu, ndiwo geTibalibabambona,wakula kubi tiwakutailem etaarifa zawe mubashara.
Vipi wameshaanza kunyapianyapia? Mbona haraka sana unataka kufunga inbox?!!Je kuna uwezekano wa kufunga inbox ? Anayejua anielekeze
Uko singo?Yes kihaya no official nenda bukoba uone maofisin wanatumia sana hizo lugha
Nozoka oly akanana,akanana akanana kaile konaaaaaa!!!!!We ni muhaya? Baliba bakubonankaa
Kufngaau kuingia?Je kuna uwezekano wa kufunga inbox ? Anayejua anielekeze
me nadhani nimekuzidi kidogo nipate mume humu tabaa zangu za pesa nikakimbia ha hahahaHumu ni kama baharini tu, wema na wabaya wote wamo. So far jf imenikutanisha na soo good people, yaani watu wa faida. Na sijutii kufahamiana nao.