Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Karibu sana mgeni, Kuna thread humu ilikuja, mtu aliibiwa na tapeli alijitambulisha kama Anna Buberwa huko facebook jina lako limenikumbusha hili tukio.
 
Najaribu kuwaza tu "wale wasiojulikana wana mbinu nyingi sana,usije kuta huu ulimbo ni kwa ajili ya kunaswa Daby au yule Mshana na theory zake Ujasusi"

Karibu mrembo,nyumbani bukoba wananiita Mutashobya
Wapenda Siasa mpooo.
Anamaanisha waweza kua mtu wa Usalama wewe! watu wajisahau waanzishe urafiki na wewe huko PM baadaye mkutane face to face kama marafiki. huku libazazi likiwa limejisahau kwamba kule kwenye Jukwaa la Siasa linafunguka bila woga likijua halifahamiki
 
Karibu sana,nadhani nimeshawahi kukuona maeneo ya Ubungo Plaza kama sikosei?
 
Back
Top Bottom