Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

Hallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,
Fb account is Anna Marie Buberwa,
Thanks
Utakaa hostel ipi kati ya mbili zilizopo humu JF.
1. Chama cha manunuzi
2. Chama cha technology na maendeleo.
 
Karibu sana Maria, Mimi humu ni msuluhishi wa wapenzi wapendanao wagombanapo, ukigombana na umpendae unitafute tumalize tatizo uso kwa uso geto.
 
Hapana usalama wa nini sasa?
Nenda Twitter utaniona,
Facebook natumia Anna Marie Buberwa
Nenda St Anthony utaona taarifa zangu hapo
Nenda IFM pia utakuta taarifa zanguu
Nakuomba uzingatie ushauri ulioupata humu.

Tangu nijiunge humu sijawahi kuona uzi wa utambulisho ambao umenifanya nisimamishe kazi zangu kwa muda na kuanza kuupitia line to line kama huu
 
Karibu mrembo, you are indeed at a right place and you will never by any means regret for being a part of this JF family.. ila sasa mbona kiingereza kingi jomoni? what about those who would like to befriend you, but can not understand your beautiful foreign language? ngoja nikakutumie friend request facebook kwanza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wahaya hata ukiwalea bado watajisifu kwamba wanatoa shahawa za soda we chukua mangi wenzio tu uwalee
HA HAHA kweli kabisa ukipita humu unasikia wanajisifia katerero hahaha me siwawezi
 
Back
Top Bottom