Am Looking For A Man To Have A Child With

Sipati picha inbox yako ilivyojaa muda huu.
Miye naweka mambo yangu hadharani wala sitaki mambo ya inbox nitakupa bure kabisa
Mbunye imeanikwa hadharani unategemea nini hapo!
 

Ni pm fasta
 
sasa kama unahitaji mzungu au mhindi huku jf ndo wapo...?????

I BLNG 2 JESUS CHRST
Mbona tupo Wahindi? Acha kusemea watu....

BTW vingezo ages ndiyo sina kwenye masharti angeshusha umri... Ila sipo tayari kuzaa na mwafrica...
 
U-handsome unatakiwa uwe asilimia ngap?!
 
We ntafutie handsome tu smart ndo kigezo changu..ukimpata nshtue
Awe handsome kama mie? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nitumie sasa picha yako inbox niweze kumuonesha. Ninao potential candidates wengi tu... Ila sasa nitawezaje kuuza mali bila kuwa na sample dalali mie?
 
Si useme tu unataka mzungu? Stress bwana
 
Nenda play store search taifa lolote ulitakalo mfano " Uk dating site" install na humo ndio utapata hitaji la moyo wako...
sasa jamii forum hao wazungu na wahindi utawapatia wapi sis.... lol

au rahisi zaidi anza kuzungukia hoteli za kitalii jilengeshe kwa mzungu mwambie azma yako kwa upande wa wahindi usipate shida k,koo wamejazana kibaooooo tena wanapenda ngono vibaya mno wewe jilengesha tu.
good luck.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…