We walete tu me ntamalizana nao inbobo alafu age 32+Awe handsome kama mie? 😀😀😀 Nitumie sasa picha yako inbox niweze kumuonesha. Ninao potential candidates wengi tu... Ila sasa nitawezaje kuuza mali bila kuwa na sample dalali mie?
Huna haja ya kutumia wakala,njoo inbox kigezo cha umri nimeshafaulu.We walete tu me ntamalizana nao inbobo alafu age 32+
kwa cristiano ronaldo
Cha uhandsome je?Huna haja ya kutumia wakala,njoo inbox kigezo cha umri nimeshafaulu.
Hapo sio pa kuuliza,njoo inbox coz na mm nina vigezo vyangu piaCha uhandsome je?
We unataka nn chura au?Hapo sio pa kuuliza,njoo inbox coz na mm nina vigezo vyangu pia
Hicho sio kigezo changu japokuwa nafamu chura unayo.Mwagika inbobo kwa majadiliano zaidiWe unataka nn chura au?
Kwa kosa la uchocheziUkapimwe mkojo aisee
Mtafute Lisu atakuoa.Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Anaweza kuwa mume wa mtu au la
Sihitaji ndoa (stress tupu)
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuhama kumtunza au kumpotezea (sishindwi kulea mwenyewe)
Mzungu au muhindi atafikiriwa zaidi
For more pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhambi mwe[emoji134]