Am Looking For A Man To Have A Child With

Am Looking For A Man To Have A Child With

Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Anaweza kuwa mume wa mtu au la
Sihitaji ndoa (stress tupu)
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuhama kumtunza au kumpotezea (sishindwi kulea mwenyewe)
Mzungu au muhindi atafikiriwa zaidi
For more pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Utasubir sana mko wengiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata kama ngekuwa muhindi au mzungu...kwa ajili ya usalama Wa mtoto Wangu ...nisingekubali mtoto Wangu awe na IQ ndogo na ya kipuuzi ya kufikiri kama mama yake

Subiri wahindi na wazungu wenye akili kama yako wanakuja

germve himself
 
Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Sihitaji ndoa (stress tupu)[emoji57]
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuamua kumtunza au kumpotezea (sishindwi kulea mwenyewe)
Mzungu au muhindi atafikiriwa zaidi
For more info pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Single parenting is more stressful than married mother. Tena a single parented child ni tatizo utalojutia msisha yako yote.

Vv
 
Yaani hata kama ngekuwa muhindi au mzungu...kwa ajili ya usalama Wa mtoto Wangu ...nisingekubali mtoto Wangu awe na IQ ndogo na ya kipuuzi ya kufikiri kama mama yake

Subiri wahindi na wazungu wenye akili kama yako wanakuja

germve himself
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Sihitaji ndoa (stress tupu)[emoji57]
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuamua kumtunza au kumpotezea (sishindwi kulea mwenyewe)
Mzungu au muhindi atafikiriwa zaidi
For more info pm

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanzia avatar yako mpaka ulichoandika unaonyesha ni mangapi unapitia/umepitia!! Pole sana binti!!
 
Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Sihitaji ndoa (stress tupu)[emoji57]
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuamua kumtunza au kumpotezea (sishindwi kulea mwenyewe)
Mzungu au muhindi atafikiriwa zaidi
For more info pm

Sent using Jamii Forums mobile app

malipo bei gani?
 
Back
Top Bottom