Am looking for a tall handsome man to.....

Am looking for a tall handsome man to.....

Haya ni majanga tena si madogo farkhina!!!....binti anataka tu atiwe mimba kisha huyo anashika hamsini zake!!!! Kwa anavyodhani yeye kulea mtoto ni rahisi kihivyo na kamwe mtoto hahitaji mapenzi ya Wazazi wote wawili!!!!

Utoto unamsumbua akikua ataacha....its weekend alafu kesho hamna shule hana cha kufanya anafkiri hapa kuna watoto wenzie
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
...huu mwaka mpak uishe tutaona mengi sana, eeeh Mungu naomba uzima wako nikuishie...
 
Ni zama.za uwazi na ukweli. Go where your heart tells you, its as simple as that!
 
Hey people!

I am a girl who is seriously searching for a man to imprenant me I mean to only make me pregnant cause I real need to have my own son or daughter at this age(24).

So any handsome man out there interested just pm and I will keep in touch.

nime -ku pm
 
Im looking for a man with both qualities who is handsome and can also
impregnant me so that the child will also be beautiful as the parents
Ulisikia wapi habari hizo kwamba wazazi wakiwa walimbwende mtoto atatoka kichuna?wewe naona hata shule ulikimbia!!
 
Ulisikia wapi habari hizo
kwamba wazazi wakiwa walimbwende mtoto atatoka kichuna?wewe naona hata
shule ulikimbia!!

In many cases wazazi wakiwa wazuri lazima na mtoto atafata nyayo.
Shule sijakimbia cause am almost graduating na GPA safiiiii mim49
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom