David Banner
New Member
- Jul 13, 2017
- 2
- 1
Iam a 28 years old guy. Natafuta mchumba:
*Dini yoyote.
*Umri 20 na kuendelea.
*Rangi yoyote.
*Figure wastani.
*Elimu - Form 4 angalau.
*Awe anajua kuongea na kuandika kizungu japo kidogo.
* Awe anajua mapishi pia hasa ya kipwani.
Mengine mnicheki PM wadada. Asanteni.