Am looking Real man to be my fiancee...later awe Mume wangu. But am She-Male (serious)

Am looking Real man to be my fiancee...later awe Mume wangu. But am She-Male (serious)

DaJane

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
223
Reaction score
622
Habari zenu.
Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu.
Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina kiungo cha kiume pia.
Jamani sitaki utani,kejeli,kashfa matusi wala dharau.
Sichagui dini,kabila,rangi,umbo wala kipato(japo wenye kujiajiri/kuajiriwa watapewa kipaumbele),
Awe na umri kuanzia 29-32,
umri wangu ni 28,Mkristo na ninaishi Magomeni,DSM.
Alie tayari tuwasiliane zaidi.
Mungu awabariki.
 
Ahh Dajane huishi vituko...leo tena umekuja na mpya..haya,umeshaachwa nini??
 
Ile ndoa yenu na Robart masawe imekuaje tena au ndo hvyo ushapigwa kibuti?
 
Jamani naona hamna alie serious mpaka muda huu,zaidi ya maswali.
 
Robert vipi? Au wewe ndio chanzo cha robert kutumia dildo? Magomeni kubwa,njoo Butiama tuongee!
 
Back
Top Bottom