pole mwaya kumbe ulikuwa lupango usjali ndo kuzoea jamvi huko. haya leo umekuja na mpya but naweza kukwambia one of the sex can be killed if you like but the dominating one has to remain. wawea kukuta iyo ya kiume ndo inadominate kuliko ya kike ingawa labda by looking unaona umedevelope features nyingi za kike. so before going any further go and see wataalam kisha watakupa what to do. kama huogopi sindano ya moto njoo hosp kwangu.
Kwanza kabla ya yote,sorry for what i doing past.
Pia napenda kuipokea pole yako.
Ila nawe nisamehe kwa yote.
Ni kweli naweza jiona nimeumbika kikike but domination ikawa ipo kwa kiume.
Na ukweli ni kwamba ya kiume iko more power than ya kike.
Waweza kuta ati napata hisia kwa kumtamani may be wa kike mwenzangu.
Nitakutafuta
Lady.
Kwanza kabla ya yote,sorry for what i doing past.
Pia napenda kuipokea pole yako.
Ila nawe nisamehe kwa yote.
Ni kweli naweza jiona nimeumbika kikike but domination ikawa ipo kwa kiume.
Na ukweli ni kwamba ya kiume iko more power than ya kike.
Waweza kuta ati napata hisia kwa kumtamani may be wa kike mwenzangu.
Nitakutafuta
Lady.
Habari zenu.
Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu.
Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina kiungo cha kiume pia.
Jamani sitaki utani,kejeli,kashfa matusi wala dharau.
Sichagui dini,kabila,rangi,umbo wala kipato(japo wenye kujiajiri/kuajiriwa watapewa kipaumbele),
Awe na umri kuanzia 29-32,
umri wangu ni 28,Mkristo na ninaishi Magomeni,DSM.
Alie tayari tuwasiliane zaidi.
Mungu awabariki.
Kiungo chako cha kiume kinasimama? Naogopa tukiudhiana usije nidropishia matone ya mkojo kwenye bia yangu, kisha nikalie KIGOGO
Kinasimama na kinafanya kazi kama cha mwanaume.
Tena ndo kina nguvu more than a v.a.g.in!!
Nisikilize kwa Makini DAJANE... Kwa siye ambao tumesoma Female reproductin system na Genetics.... Na wewe tayari umeshasema Inayodominate ni ya Kiume. Kwa hakika hauna Uwezo wa Kuzaa au Kutengeneza Yai yaani Ovum na unauwezo wa kutengeneza Sperms mana umesema unaKORODANI Kabisa.. Ni bora ya kike ingekuwa na Nguvu na huna korodani tungesema ni Clitoris enlargement ambapo solution ipo....Kwahiyo hata kama unatafuta Mwanaume hautakuwa na furaha yoyote ile.
Ni bora ukabaki hivyo hivyo mana kwa Afrika ni Vigumu sana tena sana kuwa na Mme ambaye atavumilia hayo......
DaJane, nina kaswali sasa kama dominating ni ya kiume, sasa unamtakia nini mwanaume maana utakuwa huumtendei haki au ukubali open relationship.
naona watu wengi hawajaielewa hii post..hahaa
Sure???
Nitaku-PM tuongee kwa urefu.
Asante.