Am new here

Am new here

Karibu, umepotea njia. Msalamie Asiyeonekana hapa kwanza
 
Karibu, unataka kukaa upande gani? Kushoto ni kijani/njano, kulia ni nyekundu/maji ya bahari na katikati ni wachambuzi/waangalizi. Uwanja ni wako
 
KARIBU JAMVINI....

Hili ni Jukwaa la siasa....
Lakini JINA la JUKWAA lisikutishe....

Hapa Hoja tunazozipenda ni za UDINI na UKABILA
 
Back
Top Bottom