Am new member(utambulisho)

Am new member(utambulisho)

Kitombise

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
8,575
Reaction score
25,619
Naitwa jonax a.k.a Kikofia. Picha yangu hiyo[emoji116]
1473675236019.jpg
natumaini nitapata mapokezi mema, kama mlivyompokea member mpya.[emoji116]
Liknk: https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17591462
ASANTEEEENI[emoji120]
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
 
Maana yake ni Alasiri au jioni ( pia huandikwa P.M. au p.m. ) ni kifupi cha kilatino kwaajili ya ''Post Meridiem'' , maana yake " baada ya saa sita mchana " katika masaa 12 ya saa.

Una swali lingine??
Nmekupata...
Nashukuru kwa ufafanuzi wako
 
Pm ni private messege,ukitaka kutuma gonga jina la mtu zitakuja taarifa zake pale kwenye messege gonga utamwandikia ujumbe ambao atasoma yy mwenyewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nmekupata mkuu..
Shukrani sanaaa
 
Back
Top Bottom