Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PM ni pamoja mileleEti maana ya PM ni nini?
[emoji28]Maana yake ni Alasiri au jioni ( pia huandikwa P.M. au p.m. ) ni kifupi cha kilatino kwaajili ya ''Post Meridiem'' , maana yake " baada ya saa sita mchana " katika masaa 12 ya saa.
Una swali lingine??
[emoji28][emoji28]uyo sio mgeni anazingua mgeni hanaga maswaliWatag mods waje wajibu
Unataka kuwa mod??
Nimekosea tu mkuu,nilikuwa najaribu kitu flanUnamaanisha nini?View attachment 398797
Relax[emoji28][emoji28]uyo sio mgeni anazingua mgeni hanaga maswali
Asante mkuu, umenikumbusa enzi hizo niko jeshini nilikuwa nakula sana hao jamaa.Karibu ugali panya mkuuView attachment 398873
yeye mwenyewe na modsPm ni private messege,ukitaka kutuma gonga jina la mtu zitakuja taarifa zake pale kwenye messege gonga utamwandikia ujumbe ambao atasoma yy mwenyewe
And you[emoji12] [emoji13] [emoji14] View attachment 398877