Am new member(utambulisho)

[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
 
Maana yake ni Alasiri au jioni ( pia huandikwa P.M. au p.m. ) ni kifupi cha kilatino kwaajili ya ''Post Meridiem'' , maana yake " baada ya saa sita mchana " katika masaa 12 ya saa.

Una swali lingine??
Nmekupata...
Nashukuru kwa ufafanuzi wako
 
Pm ni private messege,ukitaka kutuma gonga jina la mtu zitakuja taarifa zake pale kwenye messege gonga utamwandikia ujumbe ambao atasoma yy mwenyewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nmekupata mkuu..
Shukrani sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…