Am new member

Am new member

Goli ndo nini duka au?
Hivyo viatu navipenda sana ndo maana nikaweka avatari yangu.

Yes...duka, fremu, genge, kibanda n.k ofisi za namna hii kitaa tunaita goli

Nilijua una goli la raba mtumba, nilitaka nikucheck chap...

Penda sana hizo makitu, i have a collection ya hizo makitu Vans, St. Johns, Nike, Polo, Fred Perry n.k...
 
Yes...duka, fremu, genge, kibanda n.k ofisi za namna hii kitaa tunaita goli

Nilijua una goli la raba mtumba, nilitaka nikucheck chap...

I have a collection ya hizo makitu Vans, St. Johns, Nike, Polo, Fred Perry n.k...
Hapana mkuu
 
Am new member mekua nkipitia nakala mbali mbali umu kujifunza now nimeamua kujiunga kabisa naomben mwongozo
Mwongozo wa kwanza na wa mwisho.
Usiwaguse hawa (kwa wema ama ubaya) Depal Na Demi ili usiangukiwe na kitu kizito toka pande hii😃

Karibu sana JF jukwaa linalozingatia uhuru na usalama wa watumiaji wake
 
Mwongozo wa kwanza na wa mwisho.
Usiqaguse hawa (kwa wema ama ubaya) Depal Na Demi ili ukiangukiwe na kitu kizito toka pande hii😃

Karibu sana JF jukwaa linalozingatia uhuru na usalama wa watumiaji wake
Samaleko 🙋‍♀️
Mgeni apewe uji usiokuwa na sukari, tuone uvumilivu wake.
 
Am new member mekua nkipitia nakala mbali mbali umu kujifunza now nimeamua kujiunga kabisa naomben msingi so
*Humu sisi wote ni wasomi.
*Humu sisi wote tuna hela za ndotoni.
*Humu sisi wote tunauchukia umasikini.
*Humu tunajua kila kitu kilichomo duniani na hata anga za mbali.
*Humu wote tunaishi dar....wa mikoani ni washamba.
*Humu wote tuna kazi Kubwa kubwa na biashara za mamilioni 🤣
*Kilimo chetu ni cha umwagiliaji....hatulimi kwa hasara tukizitegemea mvua za Mungu kama mlivyozoea huko facebook.
*Mademu wote ni pisi kali.
 
Back
Top Bottom