Am new member

Am new member

Acha tu kulikuwa mdada rafiki yangu ndo pigo zake, nlikuwa nacheza nae pool table weekend ndo mitoko yake

Hv unaweza vaa hzo na sketi😂
Mimi sijawahi kuvaa hizo na sketi japo zinavaliwa pia na sketi na mtu anatoka chicha!

Kuna zile min skirt tamu zile, skirt ndefu pia zinazoshika hips😂
 
Mwongozo wa kwanza andika kiswahili usilete kiingereza cha kuunganunga.
Muongozo wa pili usiwe chawa wa ccm .
Muongozo wa tatu tunasema nimekuwa nikipitia sio mekua nkipitia ukiandika hivyo unakua huna tofauti na MZURI SANA ukijipekecha kwa kauli hizo utapakatwa na UMUGHAKA
Muongozo wa nne kuja jamaa anaitwa GENTAMYCINE huyu usimvuruge wala usilete ujuaji
Muongozo wa tano jitahidi kutoa likes kama raraa reree au Leejay49

Mkuu unataka jamaa atoke nduki aichukie JF,siyo kwa Mkwara huu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom