Am new member

Am new member

Mwongozo wa kwanza andika kiswahili usilete kiingereza cha kuunganunga.
Muongozo wa pili usiwe chawa wa ccm .
Muongozo wa tatu tunasema nimekuwa nikipitia sio mekua nkipitia ukiandika hivyo unakua huna tofauti na MZURI SANA ukijipekecha kwa kauli hizo utapakatwa na UMUGHAKA
Muongozo wa nne kuja jamaa anaitwa GENTAMYCINE huyu usimvuruge wala usilete ujuaji
Muongozo wa tano jitahidi kutoa likes kama raraa reree au Leejay49
Umesahau kumwambia aseme kama ni "ke
 
Sawa mkuu nimekwelewa tatizo letu wengine tunapenda viswahili vifupi
 
Back
Top Bottom