Am not materialistic but I still can't keep a man

haha,Unanipeperushia njiwa wangu atoto kwanini lakini?

Simpeperushi, tatizo amezubaa mpaka unataka kumkimbia, tell him to man up then he ll be able to handle you, lasivyo nitamkata makofi next time nikimuona, mambo gani haya anataka asababishe mrembo akimbie wakati familia inamuhitaji!!!
 
Last edited by a moderator:
Simpeperushi, tatizo amezubaa mpaka unataka kumkimbia, tell him to man up then he ll be able to handle you, lasivyo nitamkata makofi next time nikimuona, mambo gani haya anataka asababishe mrembo akimbie wakati familia inamuhitaji!!!

Nipo kwenye mazoezi ya kupiga na kuuwa. Sasa wewe endelea
 
Katika mambo ambalo huwa pasua kichwa sana ni mapenz hasa ktk kupata Mwenza wa maisha......I got same problem......my advice is pray had, humble before God,don't loose hope God is your provider,protector and your comforter he will fight for you he see your tears keep in touch with him
 
Hahahaaaa!! Umeyaingilia mwenyewe alafu unatafuta mchawi!!! Kalale ukue dogo.

Halafu wewe!!! Ntapiga simu chini kwa hasira...ohoooo!! Hunijui eeh!
 
It seems like u feel so much your self,and your so selective, just let your heart be,and learn to accept others for who they are
 
You are still young to start thinking of being a single mother! The best thing is just concentrate on what you have by the time being then other things will follow themselves! Even if i haven't seen you physically, but it sounds you are so beautiful girl that's why even men avoid to step on your way! Don't be discouraged by this... A right and perfect man of your dream is there just around the corner waiting for you! By rushing, will lead you to fall into a wrong man. Take my say...... #Brenda18
 
mimi natafuta mwanamke halafu unalalamika huku naomba nipm ili tutatue hili tatizo linalo tukabili
 
Afu kwani nani amewaambia muwaabudu wanaume mbona mnaexaggurate vitu??.nyinyi mmeambiwa mtii..au kutii ndo kuabudu mtu? Kwani we unavyowatii wazazi wako ni kwamba unamwabudu?..

QUESTION:What is the difference btn a Tanzanian man's wife and a Tanzanian man's daughter?

ANSWER:The wife sleeps with the man.

EXPLANATION:Kwenda kwa mwanamume wa kiTz ni kwenda kwa baba yako wa pili.

Hayana hata aibu, eti yanajifanananisha na wazazi wangu. EBO..
 
HAHAHa wewe dada pole ila bado mdogo sana, jifunze ku date wanaume ni mafala sana ukijishusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…