Am not materialistic but I still can't keep a man

Jamani mnisaidie hivi hapo ndo amesema nini?
Mwenzenu sijaelewa kabisa na ninapenda kuelewa mbona wengi mmechainga inamana mmeelewa, plz

Mimi nakutafsilia kwa kifupi tu,
Anasema hivi, watu watoroke kutoka walipo waende UKAWA.(TCRA natania msije nifunga buure kwa habari ya uongo)
 
Lol please elaborate.

Jamani Tanzania sahivi kuna operation mwanamke kazi kwa mume dyudyu tu. Sasa tukisikia watu wanaongea maneno hii.... Kwanza msichana wa shule tu hapaswi kusikia haya maneno.

You should not be getting an education because of a man, get it for urself. Umeshawahi jiuliza kwanini wababa watu wazima wanazaa na housegirl?
We dont care about your education and money....just love us regardless. However if you can fend for yourself it is a bonus. Ila wanaume wengi hawajiamini kwa wanawake independent because we want to be the ones providing.
 
Daaaah hasante mkuu, am suffering from this too, especialy hiyo number 1 ila mie ni to forget not to forgive. Eli79 umepotelea wapi? Miss youuuu
Usiposamehe wote waliokuuumiza huwez kumpa mapenzi kamili huyo uliye naye. Mana roho yako itasita kila mara
 
Usiposamehe wote waliokuuumiza huwez kumpa mapenzi kamili huyo uliye naye. Mana roho yako itasita kila mara

Bahati nzuri me sijaumizwa, so sina wa kumsamehe.
 

Kwahiyo wasichana wasisome ili wazae na waume za watu au.....kutoa mfano wa baba Kuzaa na housegirl is very bogus.

Mimi sijui umezungukwa na wanaume wa aina gani lakini naowajua hawataki mwanamke dependent. Of course these are not the typical narcissistic, inferiority complexed Tanzanian men.
 

if u really serious about wanting to be a wife just let me know...am single just in case u wondering
 

Aisee...!
 
''conquest of what is deemed unattainable makes the journey all more exciting'' by brenda18

Stay in hope-mode !
 
Last edited by a moderator:

Mbona umepanic. Mwanaume atakae kuoa kwasaabu una pesa au kazi nzuri anataka kukutumia hahahahaaha kama nilivyosema if u cn fend for urself that is a bonus. ila hiko sio kigezo mamaaaa mnaadanyana sana wanawake..mpo wengi mna kisomo hamuolewi kuwa humble ..ingekuwa wanaangalia independence yako every independent gal hapa dar angekuwa na ndoa. Mnakosea sana unajua. Sijasema msisome nimeseme usisome fuata mtereemko wa vitu nilivyokua nasema I said wanaume hawajali kuhusu elimu yako nikaulizwa wasichana wasisome nikasema kwani nyie wasichan mnasoma kwaajili ya wanaume au kwaaajili ya nyie wenyewe? Na wababa kuzaaa na housegirl ni very good exmple mamaaa tofauti kati ya mwanamke aliyesoma yuko busy na kazi na careeer na mwanamke anay tke care of the family home na mahitaji ya familia...if a man does not want to provide for u HE DOES NOT LOVE U its that easy..mnaambiwa hwataki depent women co they want to hit n run...wazeee wetu wa zamani ndoa zinadumu miaka 50 mwanamke housewife. ni mfano tu. ila kwa sasa maisha magumu kufanya hivyo.
 
Zaa mtoto wako utulie ukitaka real love utakonda mapenzi yaliisha enzi za adamu na eva.
 
if u really serious about wanting to be a wife just let me know...am single just in case u wondering

teh teh teh teh...akilaza damu hapa ndo basi tena!..,atabaki kudaka maua tu ya wenzie!
 


I like it
 
Mbona umepanic.
EBO!

Na wababa kuzaaa na housegirl ni very good exmple mamaaa tofauti kati ya mwanamke aliyesoma yuko busy na kazi na careeer na mwanamke anay tke care of the family home na mahitaji ya familia...

Kwahiyo hao maHousegirl ndo wanakujaga kuolewa na hao wababa au wanabaki kuwa sex objects tu! Pls do not repeat this bogus argument.

mnaambiwa hwataki depent women co they want to hit n run..

Eeish. Tafadhali, una kazi ?

.wazeee wetu wa zamani ndoa zinadumu miaka 50 mwanamke housewife. ni mfano tu. ila kwa sasa maisha magumu kufanya hivyo.

Kumbe unaelewa kwanini wanaume wa siku hizi wanataka independent women. We una hela gani ya kumfanya mwanamke housewife. Mke wa mengi mwenyewe anapiga kazi.

Achaneni na agenda za u housewife. This is a capitalist world for heavens' sake

Wasichana/wanawake bado Wana mentality kuwa shule ikimshinda anaenda kuolewa. Solution ni kuwafwata huko huko shule kuwaambia hamna atakayeoa mke ambaye si msomi. Kama hiyo inamaanisha wanasoma kwa ajili ya wanaume so be it.
 

Duh....hausigelo
 
already you have proofed wrong as materialistic lady, who man will deeply face u?...otherwise relax and wait your destiny and probably you meet a fellow monogamous gang...!
 
Lets loves leads.. du ningendelea ila kizungu kimeishia hapa!
 
Unaonekana haujui nini mapenzi na hujui wanaume wanapenda nini.... unaweza ukawa housegirl wa kawaia hujasoma hata. atakusomesha ili uweze kumudu maisha au muendani but alivyokupenda hakujali kuhusu kisomo chako...Nilichomaanisha ni hiki. Nina amini wewe upo singo au kama upo kwenye mahusiano hayana furaha angalia hiii
https://www.youtube.com/watch?v=YKKOwRE2V3o

The Rules Revisited: Men Don't Care About Your Accomplishments


Ninaona wanawake wengi sana wanaringa na wako tayari kujinadi mimi nina phd nina masters....usithubutu. Onesha interest ya kumjua yeye basi. kisomo chako na success yako ni bonus to kwake ila haitakuwa sababu ya mwanaume kukupenda.


 
Mzaramo nimeingia choo cha kike,watoto mnashusha ngeli kama umekulia kwa Obama! Haya jisaidieni wenyewe
 

Heh!! Wewe ni mwanasaikolojia uliyebobea kusoma hisia za maandishi?? Umebugi.

Wala usijitie ukungwi kunifundisha mapenzi. Mapenzi hayana formula you should know that by now.

Na Wala usitake kuwa msemaji wa wanaume tafadhali. Speak for yourself.

Umeng'ang'ania scenario ya baba na housegirl. Sijui unajua baba wangapi walioacha wake zao na kuoa housegirl!!!

Kama ni kumpenda mtu asiye na kitu hata wanawake hupenda na kuolewa Sana na wanaume wa hivyo.

Wewe ndo uliyeanza kusema mwanaume haangalii kisomo au hela zako. Eti just love us regardless. Na PhD yangu ya psychology inaniambia wewe ni Kijana mdogo bado una ndoto nyiiiingi. .

Me napinga tu kuwa ulichosema ni cha kufikirika mjini hapa. Labda huko vijijini.....wanaume naowajua hawataki wanawake magolikipa. Maskini wataendelea kutoka na Maskini wenzao na matajiri na wenzao.

WANAWAKE KATAENI UGOLIKIPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…