Am not materialistic but I still can't keep a man

Really?you think it's my attitude..
Nipe mfano mmoja mshenga,ni wapi humu nilicomment ukaona nina attitude kwasababu inawezekana ni kweli... be honest

Kila comment yako ukisoma kwa makini inaonyesha attitude sasa solution yako nilioiona maliza shule kwanza bila ku think about men then back to work itakusaidia kuiona hio MMEd ya kawaida na wewe utakua wa kawaida hapo ndio utawezana na wanaume, men they only need three food, sex, shut up ukiweza hivyo you will keep any man,
Second watu wakigonga kwenye utosi unasema hawajakuelewa mi nimesoma all coment wamekuelewa vizuri tu sema nakavu live ndio hutaki and thats another attitude sasa basi another solution for this kunakitabu huwa kinagonga utosini kama jf kakisome kitakusaidia sana nacho ni METHALI Kwa bible kwa wewe soma chote na Kwa wanamme kwa nini wanakukumbia wewe nitakupa mfano kupitia kitabu hicho METHAL21:9 na methali 21:19 we soma tu kama novel maana watu ukiwapeleka huku wanaona unataka wawe walokole bible is a constitution inakuaaidia kuishi na kupambana cos kilakitu kipo pale
All the best
 


i have same problem with women....can we hook up?
 
Nimekuwa najikuta hivyo it has nothing to do with education...
Hakuna mtu huwa ananielewa mwanzoni lakini baadae wananizoea...head high in my problems and such things simaanishi dharau labda ume misinterprete

Brenda huwezi kuitenga heads high na education hapo ndipo unapikosea ku diagnose, ungekua na la Saba tu situation ingekua different sasa si maanishi upelekeshwe la hasha rudi kwenye basic principal za mwanamke anaehitaji good relationship, mapenzi sio fashion show wewe ndio utakaekua unaumia men first thing in their head Kwa meanamke ni pussy after that ndio aone reason ya kuback kwako sasa wewe ukionesha I don't care attitude mwanamme anafurahi cos umemrahisishia kumove on na ndio sehemu huwa tunapata shida kumuacha mwanamke ala akikurahisishia aaah tunafurahi sana tunapita kilaiiiini
 

Thank you dear,it really helps...to know someone understands what I face without judging,trust me it's so hard to stand in such position
I also appreciate those who judge since we are different
At times
 
Last edited by a moderator:

Okei,nimekuelewa mpenzi,asante
 
brenda18 nimetafsiriwa subiri nijipange nije nikushauri,
Ila sijui hata nakushauri nini wakati hata mie nina tatizo kama lako!! Ngoja kwanza nisome comments za watu nami nijifunze maana huu moyo umenigomea kabisaaaaa kupenda tena.

Hahahaa najua we're in the same boat...
Ila wewe kidogo umezidi😉😉
Mimi sijagoma kupenda thow
 
Last edited by a moderator:

I agree to disagree
Lakini hakuna sehemu nimesema baada ya wiki moja naulizia ndoa,sina dhiki na ndoa kaka angu ningekuwa nimeshaolewa
This attitude ndio siipendi simply mwanamke asiulize kama unampango wa ndoa ataonekana desperate,kwaio inabidi ajikaze azuge zuge tu like everything is normal wakati anataka kujua hatima ya relationship itakuaje,kwaio mwanaume ndio ajue mwenyewe kichwani kwake
Lazima muwe na malengo ndio mumuachie Mungu at least hata msipo oana but mlikuwa na plans izo
I hope utakuwa unanielewa ninachosema,naomba usome sio kwa ajili ya kunijibu ili tubishane but ili uelewe my point of view..
 
Hahahaa najua we're in the same boat...
Ila wewe kidogo umezidi😉😉
Mimi sijagoma kupenda thow

Hongera yako, mie kupenda kumegoma kabisa, yaani nakuchukulia kama mshkaji tu, ukichoka sepa hataaa sitikisiki unywele, teh teh teh!!
Duuuh haya mambo bwana!! Acha nirudi shule tena.
 

Ahsante sana,jioni nitasoma hio mistari....sina tatizo na kusoma bible usijali
 
Hongera yako, mie kupenda kumegoma kabisa, yaani nakuchukulia kama mshkaji tu, ukichoka sepa hataaa sitikisiki unywele, teh teh teh!!
Duuuh haya mambo bwana!! Acha nirudi shule tena.

Hahahaa!.Muone psychologist.Hiyo sio kawaida.Lazima ulipatwa shida wakati fulani in your life.
 

Sasa inakuaje they stay ila I'm the one pushing them away,sijalalamika siwapati noo....mpaka sasa kutokana na post hii nimekuja kujua bado sijampata that man ndio maana I push hawa wengine...my attitude is the problem I get it am working on it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…