Am not materialistic but I still can't keep a man

Am not materialistic but I still can't keep a man

Babu we, I beg to differ.

Haimaanishi eti kisa nimesoma na ni mpweke so nimchukue tu mwanaume yeyote. We all have standarda honey

Asante,umenielewa sijajua kwanini education imekua tabu hapa
There is something about educated ladies irritate most men,I can't understand
 
brenda18, this is a very useful post.

I hope it will help all ladies who face same thing,najua wapo wengi ila hawawezi kujitokeza kwa sababu nyingi....
Because of age they find themselves in the arms of wrong men,settling for less because of being desperate
 
Last edited by a moderator:
you may need to seek some spiritual advise i guess....if every thing is perfect with you physically,
then there is something wrong with you spiritually!!!!
try to work on it!
 
...sasa juu ya nini unapoteza muda wa watu kuomba ushauri wakati uko 'firm' kwenye msimamo wako ambao dhahiri ndio chanzo cha tatizo lako!

Hebu nishauri kama mdogo wako...
Ningekua "firm" nisingekuja hapa
Nishauri uwezavyo sio kila kitu ntakichukua kutoka katika ushauri wako lakini angalau sitobaki kama nilivyokuja
Pole kwa kupoteza mda wako
 
Hapana, sio kwa sababu ya comments zako humu. Umesema hukai na bf mda mrefu na sababu hasa hujazijua. Na mimi nadhani kabisa ujitizame hapo kwenye attitude yako tu..kuna mengi yanahusika hapo. Jiangalie, jitafakari hapo..
Pia impression unayowapa siku za mwanzo, je unajiweka hivyo? Ndivyo ulivyo siku zote? Au baada ya mda unabadilika?

Sawa,nimekuelewa mshenga
 
Nina mengi ya kusema mabaya kuliko mazuri yake..lakini kiukweli he was a good man na mvumilivu,I might have pushed him away..through this post am starting to think maybe there are things abt me that should change....thank you

that z the problem moyo wa binadam unaoccupy two things love or hate… kwa upande wa upendo kuna upendo wa agape na mapenzi sasa brenda mama, umemueka huyo mtu in ur past katika kona ya hate ko unashindwa ku move on. na mwanamme mwingine coz anakuona kama vile hauja get over ur previous partner.
ko my advice make peace na ur ex sio lazima uonane nae tu wewe mwenyewe amua kwamba unamtoa katk kumchukia kwenda kwenye upendo wa agape..
 
Sasa my dear, atadevelop vipia better her bila kubadilika.

Kuna mama mmoja shosti wangu (imagine siku hizi nina mashosti) she is a very strong woman na ndoa yake ina shida mno, baada ya kuongea naye looks like mahusiano yake yote yamekuwa hivyo. Mumewe is very generous on the outside lkn amedevelop hatrage kwa mkewe isiyoelezeka. Baada ya kumjua na kuangalia hali nimekuja kugundua she is a huge part of the problem. I wish ningepata version ya mume wake ingenifunua zaidi. So kidogo kidogo I am working on her ingawa ni ngumu sana. Character ina play part kubwa sana kwenye mahusiano.
Sasa huyo shosti wako (mie nna mashosti hadi wabibi. I mingle with anything and anyone and just enjoy and learn from each of them. Kuna mwanaume ambae atakereka na mie ila paw wangu anamjua kichaa wake). Sasa huyo shosti wako ana tatizo nililomuasa huyu bibie. Hebu soma hapa chini. Hakuna kitu kibaya kama kubadilika ili upate ndoa, kwa sababu utarudia tabia siku utakapopata disappointment ndogo tu hata ya mume kuchelewa nyumbani. Change is for you, for very selfish reasons. Ukibadilika kwa ajili yako mwenyewe hata uwe disappointed vipi still utaendelea kujisikia vizuri.

Nitakupa mfano, mabadiliko ya tabia nayafananisha na dini. Kuna shosti very close to me alibadili dini akaolewa. Lakini tulio karibu nae sana tunajua toka kitambo alikuwa haipendi dini aliyozaliwamo. Sasa akaachana na huyo mume (alikuwa mume kimeo haswa, ila nae ni haya ya kukosa confidence. Mke anafanya phd baba anafanya vioja). Kakutana na mwanaume wa ile dini yake ya zamani na amegoma ndoa japo wamejaaliwa mtoto mmoja. Na ana uhakika hakuingia dini mpya kwa ajili ya ndoa. Unaujua mziki wa mtu aliebadili dini afu ndoa ikaanza stress? Lazma iwe senema manake watoto leo wanavishwa ushungi, baba akirudi anawavisha kaptula.


[MENTION=171429]. Usibadilike kwa ajili ya mtu, develop a better version for yourself. Have fun, dont be desperate and love will come and find you.
 
brenda18 lemme make a summary of u, nilipokosea utaniambia. I mean no offence though

1. You are of a strong character. You simply stand on what you believe, and u can't easily be changed by someone. U need a stronger man than u to control you. A weak man will never handle you no matter how right he is. U were simply born strong

2. You are not someone who can easily compromise. It's either Yes or No full stop, no blah blah

3. Not a submissive person. You always stand on your ground.. you will never a lose a battle and you don't take shit from anyone. Whoever mess up with you is finished

4. You are too independent to the extent that u feel like eve if a man leaves you, you will have nothing to lose. You can afford to have everything you wish on your own, without a man. You got cash, brain and beauty (except love of course), nani atakubabaisha
 
Last edited by a moderator:
I hope you are no more a bad boy[emoji87] [emoji87] [emoji87]. Don't u ever force a good girl to walk away from you, keep her. Good girls are on the verge of extinction

i dont know when i'll stop pushing them away!! well...may be now since i've realized im the problem!
 
They say people with first born Triats have leadership behavior and it's very hard to control them even in family level

Are you a first born? BRENDA 18
 
Last edited by a moderator:
Good evening,

Am in my late 20s about completing my MMED. Ever since I got out of my first relationship with my first and d only man I have ever loved I have not been able to keep other men coming my way.

Am not really a bad person, am not even materialistic because even as an undergraduate I was working. No man I have ever dated that doesn ' t not wish to settle down with me but one thing will lead to another and there will be change in plan.

In fact am losing hope of ever getting married may be I should just get pregnant for my first love and be a single mother. Right now am single and I have been for more than a year. Please do u have any advice for me?

Thanks


I'm a male version of you brenda18 . I have pushed away more than five 'wife materials'. I'm worried i will be single forever!
 
i dont know when i'll stop pushing them away!! well...may be now since i've realized im the problem!

You lil heart breaker.... Anyway since u have realized your life reality, I hope you are ready to change for better (time for a big life transition). Knowing your problem is half the battle, And where there is a will, there is also a way. I know you can

"Every single thing we go through and we're given...can be for our good.
For every weakness, there is purpose and beauty in it. "
 
I'm a male version of you brenda18 . I have pushed away more than five 'wife materials'. I'm worried i will be single forever!

images


You know your moves bro. Props!
 
Back
Top Bottom